Dividend
JF-Expert Member
- Jan 15, 2017
- 2,102
- 3,343
Hata kwa magufuli mlikuwa mnasema hivi hivi, sasa hivi yupo wapi?SiempreSSH....
M/Mungu amlinde ,kumpa nguvu,afya na uhai mrefu mh.SSH ,aaaamin!
HAKUNA NAMNA...
NI LAZIMA KAZI IENDELEE.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kwa magufuli mlikuwa mnasema hivi hivi, sasa hivi yupo wapi?SiempreSSH....
M/Mungu amlinde ,kumpa nguvu,afya na uhai mrefu mh.SSH ,aaaamin!
HAKUNA NAMNA...
NI LAZIMA KAZI IENDELEE.....
Hii ya March ilikuwa bahati mbaya tu. Mbona yule wa Syria hafi? Wa Rwanda hafi? Wa Uganda hafi? Wa Cameroon hafi?Nimeanza kufunga kwa siku thelathini ili Mungu atende kama alivyotenda mwezi marchi .
Kwa hiyo walikuwa wamepewa kaxi ya kumlinda walishindwa kazi..... Labda waanze kwa kuwawajibisha hao.Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.
Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.
Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli na uki connect dot utaelewa Tundu Lisu alijuaje kama Magufuli anaumwa?
Ni haya makundi ya ugaidi ndiyo yalikuwa yanawapa taarifa.View attachment 1863503
Pole kwa kushindwa kunielewaUnashindwa kuwahoji wakina kikwete na genge lake unaenda kwa mbowe kwa access gani mbowe aliyonayo kuishinda intelligence ya nchi
Basi kama ni hivyo hatuna ulinzi nchi hii
Hata samia atauwawa muda wowote
Sasa si wameamua? Waandamane basi, tuone. Mikwara butu haisaidii.Una uhakika Tanzania inahitaji maandamano? Unadhani siku wakiamua wewe na familia yako mtabaki salama?
Omba sana hawa jamaa waendelee kuandamana nyuma ya keyboard...la sivyo, haya majivuno hamtakua nayo maana ipo siku wataamua na hakutakua na nguvu ya kuwazuia
Kesi ya takukuru billion 8 je hii nchi ni takataka kabisaKipindi kile alituhumiwa anataka kulipua matank ya mafuta kigamboni sijui iliishia wapi....
Watapata nini nyie mafucker wa Kaskazini msitutishe, hamieni Kenya.Watapata wanachokitafuta hawa MA-CCM
Kwahyo Lissu ndo alieuzima umeme wa moyo wa magu?Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.
Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.
Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli na uki connect dot utaelewa Tundu Lisu alijuaje kama Magufuli anaumwa?
Ni haya makundi ya ugaidi ndiyo yalikuwa yanawapa taarifa.View attachment 1863503
Labda wanashindana kuvunja record ya yupi ni worse than the others.Hahaahahhahaahhahaahah. Sio Magufuli tena?? Ni Samia sasa sio??? Nyinyi watu akili zenu ni fupi.
Mwanzo mlisema Kikwete ndio worst president ever, then mkasema Magufuli is the worst president ever and now Mama Samia???
Tunawaangalia tu hahahahahahah
Upelelezi ulikuwa unafanyikaKwanini hakukamatwa tangu mwezi wa tatu?
Yuko mbele za HAKI...Hata kwa magufuli mlikuwa mnasema hivi hivi, sasa hivi yupo wapi?
Dunia gani? Kwamba ipo dunia ya kuhalalisha uhalifu! Kama ana makosa ya tuhuma hizo hakuna dunia itakayomkumbatiaHata kama ana hizo tuhuma, timing ya kumkata ni mbovu, sasa hivi dunia inawaangalia.