Acha sheria ichukue mkondo wake, mbona dogo una haraka gani? Na kwa taarifa yako messages zako zote kwenye simu au computer yako hata ukizi delete kwenye device yako bado zinaweza kuwa retrieved from google. Hata maongezi yako kwenye simu yote yanaweza kuwa retrieved from google kirahisi tu. Hata wewe uliyejificha humu Jf kwa pseudo identity wakitaka kupata identity yako ni rahisi tu kupitia google. Usidhani umejificha na kwamba unaweza kufanya ugaidi wasikutambue. Ndiyo maana Osama bin Laden hakuwa na simu wala electronic device yo yote. Ndiyo maana zoezi la kumpata au.kupata ushahidi ya tuhuma zake zilikuwa ngumu sana. Halafu jua kwamba siyo kila kesi inayoendeshwa mahakamani iwe ya hadhara. Kesi inaweza kuendeshwa under camera.Ukweli ndio suluhu ya yote hata kama ni wahalifu lakini wananchi wapatiwe ukweli.
Njama za kuua na kufanya ugaidi sio ndogo.
Wananchi wapewe ukweli juu ya hii saga.
Hivi umeisoma taarifa ya polisi hapo chini na ukaielewa kabla ya kuandika uchafu huu?Mbowe akutwa na tuhuma za ugaidi za kuuwa viongozi wa serikali.
Wampeleke gereza la kisongo akakutane na Sabaya.
Itajulikana tu aliyemuuwa Magufuli na uki connect dot utaelewa Tundu Lisu alijuaje kama Magufuli anaumwa?
Lisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?
Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.
Ni haya makundi ya ugaidi ndiyo yalikuwa yanawapa taarifa.View attachment 1863503
Pesa aliyokosa jpm ni ile ya MCC baada ya sera mbovu za triump acha upumbavu unadhani hatujui pesa ipi wahisani hawakuleta?
Kigogo.Lisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?
Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.
Viongozi wanajiua wenyewe kwa kuendekeza nyungu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanasema alipanga njama za kuua viongozi wa serikali. Labda ni Jiwe
yyNi ile kesi ya mwaka jana inarudiwa au? Na huo ugaidi aliufanya saa ngapi ? na wapi ?
Tumefikia patamu kama nchi, sikio la kufa halisikii dawa. Nilishaonya huko nyuma na ya katimia. Mungu hajaribiwi wala hadhihakiwi. Tutavuna tulichopanda kama chama tawala na chama cha dume la mbegu. Sura halisi ya mabadiliko ya kweli huja kupitia ndoto. Niliota ndoto ikawa kweli. Nimeota ndoto yatakuwa kweli tena. Nakushukuru Mungu. Sijui nisemaje Mungu hajawahi kujaribiwa. Yatatokea tena na tutavuka salama tena! Ila tusamehe kwa kuwa tataendelea kujifunza tena na tena!Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM.Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye.
View attachment 1862953
====
UPDATES;
=====
TAARIFA KWA UMMA
JESHI LA POLISI LAMTUHUMU MWENYEKITI WA CHAMA
MHE.FREEMAN MBOWE NA "MAKOSA YA UGAIDI"
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe alifikishwa Dar es Salaam jana majira ya saa tatu usiku chini ya ulinzi wa Polisi , walimpeleka nyumbani kwake Mikocheni Kwa ajili ya kumfanyia upekuzi ambao ulichukua takribani saa mbili na nusu.
Baada ya upekuzi huo Polisi waliondoka na Kompyuta mpakato (Laptop) na Vishikwambi (tablets) za watoto wake, Kompyuta mpakato moja ya kwake na modem ya Internet Kwa ajili ya uchunguzi wao.
Leo majira ya saa Saba mchana Polisi walimfikisha Mhe. Freeman Mbowe Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano na kuchukua maelezo yake.
Polisi walitaka maelezo kutoka Kwa Mhe. Freeman Mbowe kuhusiana na kosa waliloliita 'KULA NJAMA ZA KUTENDA KOSA LA UGAIDI'
Baada ya maelezo hayo ya Polisi Mhe. Freeman Mbowe alitumia haki yake ya kisheria na aliamua kutokutoa maelezo yoyote Polisi kwa mujibu wa Sheria. Baada ya maelezo hayo Polisi wamemrejesha Mhe. Freeman Mbowe katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay ,Jijini Dar es Salaam.
Aidha , viongozi wengine waliokuwa wanashikiliwa Mkoani Mwanza wameendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi na baadhi yao walifanyiwa upekuzi nyumbani kwao na vyumba vya hotel ambako walikuwa wameshukia .
Waraka wa Mbowe kwa Watanzania
Mwenyekiti Taifa Mhe. Freeman Mbowe ametuma waraka kwa Watanzania kama ifuatavyo;
"Hatimaye madai ya Katiba Mpya yamenisababishia kesi ya ugaidi, nipo tayari kwa mashtaka ya kuchongwa siogopi. Ninaamini Dunia itaujua ukweli wa kile kinachoendelea Tanzania na kile tunachokipitia Watanzania. Lakini pia itajua ukweli juu ya makosa haya ya kuchongwa.
Natoa wito kwa watanzania kuendeleza mapambano, haki hutafutwa” Mhe.
Freeman Mbowe.”
Imetolewa leo Alhamisi tarehe 22 Julai, 2021.
John Mrema
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje.
=====
UPDATE:
View attachment 1863559
View attachment 1863560
Yana mwisho , kumbuka kila kitu kina mwisho , Mwogopeni AllahGavana assalaam alaykum akhui!
Vipi CHOKOCHO huko?!!
ACT chali tena Jimboni kule....
Pamoja na kumtaka huyo ndugu uliyemkwoti awe na subira, Point yako ktk maelezo haya ni nini Kwani...?Acha sheria ichukue mkondo wake, mbona dogo una haraka gani? Na kwa taarifa yako messages zako zote kwenye simu au computer yako hata ukizi delete kwenye device yako bado zinaweza kuwa retrieved from google. Hata maongezi yako kwenye simu yote yanaweza kuwa retrieved from google kirahisi tu. Hata wewe uliyejificha humu Jf kwa pseudo identity wakitaka kupata identity yako ni rahisi tu kupitia google. Usidhani umejificha na kwamba unaweza kufanya ugaidi wasikutambue. Ndiyo maana Osama bin Laden hakuwa na simu wala electronic device yo yote. Ndiyo maana zoezi la kumpata au.kupata ushahidi ya tuhuma zake zilikuwa ngumu sana.
. Wacheni vitisho vya kijinga kama ni kifo, kila mtu ana siku zake hakuna atayebaki.Watapata wanachokitafuta hawa MA-CCM
Hapo alikosea sana, tulikaa kimya kuangalia wanavyocheza mziki wa CHADEMA, wao waliwaingiza mkenge wakijua nini wanakitaka, walishaona wapiga kura wengi ni wapenzi wa JPM na kwa kuwa Serikali inamdhihaki basi wacha tuwaoneshe "kwa kura za hasira.."Makosa ya Samia ni kujifanya yeye mzuri na kumugeuka Hayati Maguguli.
Pamoja na Tanzania kutaka vyama vingi, hiki kinachojiita chama kikubwa cha upinzani chenye mbunge mmoja hakifai kuiongoza Tanzania. Viongozi wake sio waaminifu, na wala hawaelewi historia ya uhusiano kati ya nchi za Ulaya na Afrika. Tundu Lissu anasema lazima tuwapigie magoti wazungu wametusaidia zaidi ya miaka 70. Huyu ndiye wanamuita musomi. Wengine wanampigia makofi. Katika wajinga wanasiasa Huyu ndiye namba moja.
Na Mbowe ni mutu asiyeaminika. Mtu aliyekuwa na biashara ya club kwenye jengo la serikali, na kama asingekuwa Hayati Magufuli, jengo hilo leo lingekuwa mali yake. Alifanya biashara kwa jengo hilo kwa zaidi ya miaka kumi bila kodi ya jengo wala kodi ya mapato ya biashara zake. . Club yake ilikuwa ikisambaza dawa za kulevya Dar es salaam nzima.. Sasa akiupata uongozi Je? Ataihamishia Benki kuumya Tanzania Dubai na Watanzania atawakabithisha kwa waarabu kama Watumwa. Lala salaama baba Magufuli tunakukumbuka sana.
Samia Wacha yamukute. Alijitia kuyafuta ya Hayati Magufuli akithani ana deal na watu wenye kuelewa, sasa yamemugeukia. Lala salaama baba Magufuli.Police hii hii iliyoambiwa na Samia ifute kesi za kibambika ndio inatuhumu ugaidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]