Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Hawa huwa wanaburuzwa tu , Mwakitalu alikuwapo hapohapo enzi za Mganga
Alifuta futa kesi nyingi za kubambika za mtangulizi wake Biswalo, sasa tuone hapa na yeye atasimamia weledi au atakwenda tu na upepo
 
Sawasawa kabisa. Tuone sasa kama kuna mwekezaji atakaye kuja kuweka pua yake kwenye nchi yenye magaidi kama Tanzania.

Ubongo unapohama kutoka kichwani kwenda kwenye saburi ni shida!
 
Hujui uliandikalo ndugu.

Japo ni vizuri kuandika unacho waza.

SAMIA anajua kila kitu.
 
Jeshi la polisi limetupa clue kuwa huenda kweli Chuma aliuawa, Sasa wameamsha mijadala mitaani juu ya hilo na wananchi wanasema kama kulikuwa na njama za kuua viongozi basi hata viongozi ndani ya Chama tawala wameshiriki. Watu wanataka majibu
 
Kama Mbowe alihusika basi kazi ya kulifunga ni rahisi tu Mbona.
 
Naona mnalazimisha watu wakubali kuwa mbowe ni gaidi.

Acheni ujinga nyie watu. Kama siasa safi zimewashinda, mnao uwezo wa kufuta mfumo wa vyama vingi kikabaki chama chenu
 
sorry hizo taarifa za chini chini source yake ni ipi?
je kuna evidence za ugaidi?
 

Mtaanzisha post nyingi kwelikweli, ila hizo propaganda za kizee zilishapita enzi za Mahita. Kwa sasa labda mpelekee wazee huko vijijini wasiojua lolote. Huu ni udhibitisho kuwa baada usalama wetu wa taifa una watu wenye mitazamo ya kizee, ndio maana utoto ww zamani bado mnauendekeza hadi sasa. Amkeni kumekucha msike mjachafua godoro. Wananchi wanawachora na kuwaona mna utoto wa ajabu.
Cc:misuli
 
Naona mnalazimisha watu wakubali kuwa mbowe ni gaidi.

Acheni ujinga nyie watu. Kama siasa safi zimewashinda, mnao uwezo wa kufuta mfumo wa vyama vingi kikabaki chama chenu

Kabisa boss, yaani wana utoto wa ajabu. Cha ajabu hata watu wa usalama wapo huku na eti wanapima upepo kama huo upuuzi wao umeteka akili za watu. Yaani hata mtoto wangu yuko darasa la watu amejua ni ujinga wa kiwango cha aibu.
 
Kwa hiyo Mbowe ananyea kwenye ndoo yenye kinyesi na kulala kwenye kunguni saivi ?
Na unajivunia na kuona sifa kuwa miaka zaidi ya sitini toka tupate uhuru mahabusu wanajisaidia haja kubwa kwenye ndoo na wanalala kwenye kunguni? Stupid as stupid does.

Amandla...
 
Jibuni swali la msingi: Tundu Lisu alijuaje kuwa JPM anaumwa? Alijuaje kuwa amekufa? Maana alianza uchuro huo hata kabla hatujatangaziwa! Makamu mwenyekiti wa cdm akijua jambo si mwenyekiti anakuwa ameshajua pia? Watueleze walijuaje?? Ndiyo maana Tundu Lisu anamkazania mama amhakikishie usalama ndiyo arudi nchini! Arudi tu aunganishwe!!
 
Sht post
 
Zote hizo ni ramli chonganishi ekiambatana na chuki na roho mbaya, kama ilivyo ada kwako na ili timu yenu ya kijani.
 
Kuna wakati nyumbu walikua wanatishia humu kwamba "Samia akiwasumbua yatampata ya Magufuli"

Sikujua bhana!

Kumbe hawa jamaa ni magaidi asee

NB: sometimes kauli zetu hutuponza.
 
Nawewe ulijuaje ameshambuliwa.
 
Na unajivunia na kuona sifa kuwa miaka zaidi ya sitini toka tupate uhuru mahabusu wanajisaidia haja kubwa kwenye ndoo na wanalala kwenye kunguni? Stupid as stupid does.

Amandla...
Ebu muulizeni Mbowe kunguni bado wapo wengi Oysterbay Police?
Mama anaupiga mwingi sana 😂
 
Yaaani kama Sirro na huyu diwani na mwanasheria mkuu wa serikali ndio vichwa vinavyotegemewa na rais katika usalama wake basi taifa la Tanzania liko hatarini kama mbuzi wa kufugwa aliyetupwa mbuga ya wanyama pori wala nyama.
Kipindi cha mwendazake walijaribu kumbambikia Mbowe kesi ya madawa kupitia makonda lakini walivyochekecha labda mwendazake alishtuka kuwa watamshabishia yeye amiri jeshi madhara kuliko faida.
Sasa amiri jeshi aliyepo hajashtuka kwa hili famba la polisi.
Madhara yake kwa taifa ni makubwa kuliko hata janga la korona.
 
Mnadeka sana.....hao mnaowadekea the so called jumuiya ya kimataifa wenzenu wanawatumia bila ya nyie kujua wafanikishe mambo yao ikiwa pamoja na kuuza chanjo, makampuni yao makubwa yapate unafuu na business nyingine ziendelee.. Rwanda imekamata wangapi na kuua wangapi, Uganda imekamata wangapi na kuua wangapi umeshasikia jumuiya ya kimataifa imetoa mmbinyo?...

Dola ikikwambia ina information za kutosha dhidi ya Mbowe na mipango yake dhidi ya hii nchi utabisha? na ukiibishia dola unataka tumuamini Lissu anayeishi Belgium...?.

Tunahitaji kuitoa CCM lakini sio kwa harakati hizi za CDM, Mbowe na TL...
 
Nawewe ulijuaje ameshambuliwa.
Kwa hiyo hofu ya madai ya Katiba mpya yamegeuzwa kuwa ugaidi,oneni aibu ,tena mwone aibu hata kujiita wazalendo,ila mkijiita wa Rundi nafuu.,kwani mlishapewa ruhusa kuhamimiako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…