Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

waanze na chanjo
 
Uandishi wa kiwango cha chini sana huu. Yaani huyu ndiye Msemaji wa Jeshi lote Tanzania! Kweli jeshi limejaza zero makambini na kwenye kota zake
 
Polisi wa Tanzania, someni vitabu vya Mungu. Malipo ya dhuluma huwaga ni hapa hapa, hayanaga mkopo. Jitafakirini sana kwani misiba isiyokuwa na sababu na itokanayo na matendo maovu na ya aibu hatupendi sana.
 
Hii movie kuhusu viongozi wa CHADEMA imeandaliwa kwa kiwango cha chini mno na inaabua maswali mengi kuliko majibu kuzidi hata ile ya kutekwa kwa MO.
Kuna mtu anaandaliwa utukufu hapa, na wengine wataangukia sword
 
Polisi wa Tanzania, someni vitabu vya Mungu. Malipo ya dhuluma huwaga ni hapa hapa, hayanaga mkopo. Jitafakirini sana kwani misiba isiyokuwa na sababu na itokanayo na matendo maovu na ya aibu hatupendi sana.
Ka mwafahamu malipo ni hapahapa kwa nini hamtaki Dj alipwe kwa walichowafanyia watanzania?

Sent from my SM-A507FN using JamiiForums mobile app
 
U
Nategemea misaada kuishi??
 
dah! Watu wanapenda sana tuongozwe au tusimamiwe na wazungu.
 
-Makongamano ya kudai katiba Mpya
-Tozo kwenye miamala ya simu

Umefanyika mkakati wa kumkamata Mbowe na kumpa kesi ya ugaidi ili kuwatoa watanzania katika mijadala miwili mikubwa hapo juu
 
Ndiyo mnavyodanganyana kwenye vikorido vya lumumba hapo??
 
CHADEMA always ni akili kubwa.
Polisi wamefanya kile ambacho chadema walihitaji. Kitendo cha kumshikilia mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na viongozi wengine wa Bavicha Bavicha Taifa.Bavicha Taifa. ni msaada mkubwa sana kwa CHADEMA.
Vyombo vyote vya habari duniani vimetangaza kuwa Mbowe kashikiliwa na polisi kwa kile kinachodaiwa ni kongamano la kudai #katiba.
Dunia yote imetambua na imesikia kuwa kuna vugu vugu la katiba mpya, wazee wasio na smatphone pia wamefahamu kuhusu hilo. Kila kona sasa ni katiba mpya.
Kwa kifupi kongamano limefanywa na polisi na kupata muitikio mkubwa kuliko hata wangefanya chadema.
 
Ugaidi ambao kwa kiingereza unaitwa terrorism, unatokana na neno terror, ambalo kimsingi ni kutisha. Terrorists au magaidi hutenda vitendo vya kutisha ili anayetishwa asitende jambo ambalo anayetisha, halitaki.

Terrorists wanaweza kuwa ni kikundi, taasisi, watu binafsi au Serikali.

Leo naongelea terrorist goverment au Serikali gaidi. Hii ni Serikali ambayo huwafanyia vitendo vya kutisha raia, vikundi vya watu au taasisi kwa lengo la kuwafanya raia, taasisi, vyama vya kisiasa viogope kuhoji au kukosoa.

Mambo ambayo terrorist government hufanya:

1) kuua, kuteka, kufunga au kuwapoteza wanaokosoa au kuhoji

2) kutunga sheria za kigandamizaji zinazopunguza au kuondoa uhuru wa mawazo na maoni ya watu

3) Kutunga sheria nyingi zaidi za kudhibiti kuliko kuwezesha

4) Kutunga katiba zinazowalinda na kuwapa madaraka makubwa watawala kuliko wananchi

5) Terrorist government, mara nyingi hutunga sheria za kudhibiti uhuru wa vyombo vya habari

6) Kwa kutumia sheria haramu, huwabambikia kesi zile ambazo zinaipa terrorist government kuwatesa wakosoaji

7) Terrorist government huunda terrorirt state organs kama vile terrorist Police Force, terrorist intelligence organs, terrorist armed forces, na hivyo vyote huwa chini ya terrorist ruling political party

Dhamira kuu ya terrorist government ni kuwafanya raia au makundi ya kijamii yenye uwezo wa kukosoa yaogopa kwa kuona yale ambayo wakosoaji yaliwapata.

Lengo la terrorist government ni kuwafanya watu waogope. Kwa hiyo raia wakiogopa, lengo la terrorist government linakuwa limefanikiwa. Raia ili kuondokana na kuwa watumwa wa government terrorism ni kutokukubali kutishwa.
 
Katiba mpya si hitaji la watanzania walio wengi.....

Iliyopo ni nzuri TU.....

#KaziIendelee
 
100%Yaliyojiri kwa Mrema,Seif na Mahita makondena ya visu,Mabomu ya Arusha,Slaa kutegeshewa vitu hotelini,Lissu kupigwa lisasi na sasa Mbowe nani atafuata?
Je,nisuluhisho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…