Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

mataga sukuma gang mmefufuka
 
Ni kama movie la kihindi ...... hata usipoifamu lugha au hata usiposikia lugha bado uataelewa tu provided that unaona picha nzima!!
 
Nakumbuka ile aliyosema huku kalegeza mimacho "mataifa ya nje wanatuangalia sasa na waandishi wa kimataifa wanakuja kwa ajili ya RE=Branding Tanzania. " sasa ni kipindi muafaka cha Re branding Tanzania. Kumbe wanawake wanaweza kuwa madikteta
Kila mtu anae mgusa Mbowe ni dikteta , nyie misukule ya Mbowe mna shida
 
He ran away to Mwanza to deceive the public into believing that he was arrested because of the symposium they were preparing to hold to discuss constitutional review issues
 
Lengo la terrorist government ni kuwafanya watu waogope. Kwa hiyo raia wakiogopa, lengo la terrorist government linakuwa limefanikiwa. Raia ili kuondokana na kuwa watumwa wa government terrorism ni kutokukubali kutishwa.
CCM na serikali yake kwa hakika zina sifa zote za kuwa "terrorist".

Moja ya mada za kufikirisha sana hapa JF.
 
nonsense eti wapiga kura wengi, sukuma gang
 
huyu Gaidi alitakiwa ahamishiwe Guantanamo Bay Detention camp.
ni vyema Jeshi letu likashirikiana kwa karibu sana na interpol kwaajili ya upelelezi zaidi.
 
We jifariji tuu.unafikiri CHAMUDATA ni chama cha upinzani???ni CDM tuu,wengine wahuni tuu.uyo jpm Mungu kamchukua ili iwe fundisho kwenu.bado wengine wabishi
Babu yako na baba yako walikufa ilikuwa ni fundisho kwa nani? Mkapa na Prof. Baregu, Maalim Seif, wote na Prince Philip, Mandela ni fundisho kwa nani? Aliye kaa milele ni nani mpaka sasa ambaye hakutolewa fundisho?
Ni seme huwezi ukawa wewe mwislamu, maana waislamu wanaamini kifo ni faradha na kila kumbe kitakufa! Wewe bado unabeza mtu kufa! Unakera kwa ukosefu wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…