mataga-sukuma gang hao. Tulipomsifia roho iliwauma sanaNyie ndio mna tabia mbaya kila kitu NDIOOO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mataga-sukuma gang hao. Tulipomsifia roho iliwauma sanaNyie ndio mna tabia mbaya kila kitu NDIOOO
masalia mengi mnoGaidi Magufuli ameshakufa, yamebaki masalia yake
mataga sukuma gang mmefufukaHakuna kiongozi yeyote makini anaetaka amani na utulivu akawavumilia chadema na huu ndo ukweli Chadema mnafanya siasa za kizamani sana mnafanya siasa zilizokuwa zinafanyika enzi za kupigania uhuru
JPM ndo aliwaweza vzr Gwanda zilikuwa night dress mnazivaa usk wkt wa kulala
Ni kama movie la kihindi ...... hata usipoifamu lugha au hata usiposikia lugha bado uataelewa tu provided that unaona picha nzima!!Hii movie kuhusu viongozi wa CHADEMA imeandaliwa kwa kiwango cha chini mno na inaabua maswali mengi kuliko majibu kuzidi hata ile ya kutekwa kwa MO.
Na kwakuwa jambo hili linaonekana kugusa hisia za watu wengi na kuvuka mipaka ya nchi huku shinikizo likiongezeka, sitashangaa wakati wiwote wakatafutwa watu wa kubebeshwa lawama na hao wanaweza kuwa ni Sirro na pengine hata Boss wa TISS
Inawezekana Mama asiwe na wazo la kubebesha mtu lawama kwa makosa yake, ila wanasiasa wenzake na ambao ni wakongwe ndani ya chama, wanaweza kumshauri afanye uamuzi wa kuwato watu mbuzi wa kafara ili kulinda image yake.
Tuhuma hizi ni nzito, ngumu kuzithibitisha na inaonekana walizi-underestimate huku dunia ikifuatilia, hivyo ni lazima wajisafishe na katika kujisafusha huko, Sirro ndio anaeweza kuwa wa kwanza kubebeshwa zigo la lawama kwa kuondolewa katika nafasi yake huku Boss wa TISS nae akikalia kuti kavu.
Tusubiri.
kwa mnamanisha mbiwe yuko staith na alichokifanya??? ama kukamatwa kwake ni halali kuwa kavunja sheriaGaidi Magufuli ameshakufa, yamebaki masalia yake
Kwahio Sirro nae ni failure kumbeSifa ya kuwa police ni 4m 4 failure
Usalama wa raia ni kazi ya polisi, wanaweza kumpekua yeyote tu, Mbowe nae lazima wampekueKongamano la katiba hupekuliwa na Polisiccm?
Kila mtu anae mgusa Mbowe ni dikteta , nyie misukule ya Mbowe mna shidaNakumbuka ile aliyosema huku kalegeza mimacho "mataifa ya nje wanatuangalia sasa na waandishi wa kimataifa wanakuja kwa ajili ya RE=Branding Tanzania. " sasa ni kipindi muafaka cha Re branding Tanzania. Kumbe wanawake wanaweza kuwa madikteta
Hizo media ni takataka tuCCM is shooting itself in the foot.
Now Al-Jazeera and BBC World Service are talking about Mbowe and constitutional reform in Tanzania.
CCM na serikali yake kwa hakika zina sifa zote za kuwa "terrorist".Lengo la terrorist government ni kuwafanya watu waogope. Kwa hiyo raia wakiogopa, lengo la terrorist government linakuwa limefanikiwa. Raia ili kuondokana na kuwa watumwa wa government terrorism ni kutokukubali kutishwa.
You are not even wrong.Hizo media ni takataka tu
Trump alikuwa sahihiYou are not even wrong.
nonsense eti wapiga kura wengi, sukuma gangAkitaka kuharibikiwa ni aende tu kinyume cha JPM, sisi the majority tulimchagua JPM na hulka yake na si kwamba hatukujua tunachagua mtu wa namna gani, hilo mnalifahamu vyema na ndo maana mkaanza kumwingiza mother mkenge ili achukiwe na wafuasi wa JPM ambao ndo the majority ya wapiga kura mkitegemea wapige kura za hasira 2025, mama kashtuka ngoja awanyooshe..[emoji4]
gaidi mma yakohuyu Gaidi alitakiwa ahamishiwe Guantanamo Bay Detention camp.
ni vyema Jeshi letu likashirikiana kwa karibu sana na interpol kwaajili ya upelelezi zaidi.
Babu yako na baba yako walikufa ilikuwa ni fundisho kwa nani? Mkapa na Prof. Baregu, Maalim Seif, wote na Prince Philip, Mandela ni fundisho kwa nani? Aliye kaa milele ni nani mpaka sasa ambaye hakutolewa fundisho?We jifariji tuu.unafikiri CHAMUDATA ni chama cha upinzani???ni CDM tuu,wengine wahuni tuu.uyo jpm Mungu kamchukua ili iwe fundisho kwenu.bado wengine wabishi