Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Wananchi ndo sisi bro, the majority, kinukisheni ndo utajua wananchi ni wapi hasa.
Unapiga kelele hapa ,na kujitutumua,siku ya tatu hii haujalipwa buku 7...eti wananchi ndio nyinyi...WEZI WAKUBWA,MAJAMBAZI YA KURA..PAMBAFF
 
Mwendazake alikuwa mbabe mwisho akaishia ukingoni...The World is looking closely
 
Pesa ya walipa kodi zinatumika hovyo kukandamiza demokrasia kwa njia haramu za kishetani, wametumia gharama kubwa kumsafirisha mbowe tokea mwanza hadi huko Dsm kwenda kusachi nyumbani kwake ni Aibu iliyoje
Hio gharama bora wangewapa wanakijiji wangejenge hata vyoo vya shule tuepuke aibu ya kujengewa na mabeberu.
Mbowe si tishio zaidi kwa nchi watz wanajielewa.
Labda tu kama walimtumia mbinu ya kumsafirisha kupigia dili kuongeza cha juu kwenye gharama za usafiri,maana mswahili kwa dili ni sawa na mswaki na dawa.
Chadema sio tishio kwa nchi kama Hakuna uchaguzi,njia ya kuuwa upinzani waache waongee, usiku watalala.
Badala ya kupambana na tatizo la ajira wako bize na upinzani,ambao watakufa na watauacha.
 
Hayati alipowanyoosha hawa watu mlimvaa mkasema dikteta [emoji2]... Nyie hawa watu wana siasa za kitoto na chafuzi zisizovumilika!!! Demokrasia haiko kwa kiasi hiko bwana! Wala huyu bi mkubwa hapati laana yoyote lazima awanyooshe hawa watu kwa maslahi ya Taifa.
 
Uchaguzi upi ulimchagua magufuli? Mwananchi yupi? Kura zipi? Tume upi? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani tu
True mwendakombo ajawahi shinda chochote dunia hila bila kubebwa,phd alibebwa,ubunge alipiga figisu kupita bila kupingwa,udereva alipewa.
 
Nani kakwambia upinzani ni tishio kwa usalama wa taifa nje ya wakati wa uchaguzi watz wanajielewa.
Sema kama mnataka kupigia dili kupitia gharama za kupambana na upinzani.
 
kumfungulia mbowe kesi ya ugaidi itakuwa wamemuonea sana, ilitakiwa apigwe kidogo au wamtengue mguu kisha wampe kesi nyepesi.
 
Nani kakwambia upinzani ni tishio kwa usalama wa taifa nje ya wakati wa uchaguzi watz wanajielewa.
Sema kama mnataka kupigia dili kupitia gharama za kupambana na upinzani.
Unajibu kitu ambacho sijakiandika [emoji2]
 
Mabeberu gani walimpa mkopo,au unaongelea ADB.
 
Msihofu kwani hata Mandela aliwahi kutuhumiwa na kufungwa kama Gaidi lakini hata siku moja dhulma haishindi haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…