Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama alikuwa amekubalika sasa lakini kwa uonevu unyanyasaji uovu mateso waliyofanyiwa wapinzani huko mwanza ni dhahiri mama anaenda kupata chuki kubwa tokea kwa wananchi wapenda demokrasia kote Nchini na Duniani koteAisee we jamaa mpumbavu sana!!! Kwani kuwepo demokrasi Tanzania inahusu Chadema tu!? Ngoja nikutoe ujinga mpuuzi wewe. Demokrasi inahusu Watanzania kuwa na haki na uhuru wa kuchagua Viongozi tuwatakao. Inahusu haki na uhuru wa Watanzania kuikosoa Serikali bila hofu wala woga wakati wowote na mahali popote, inahusu uhuru na haki ya vyombo vya habari kutenda kazi zake za kila siku bila woga wa kutekwa au kufungiwa eti kwa kusema kweli Serikali. Inahusu uhuru na haki ya mahakama kufanya kazi zake bila kuingiliwa na yoyote yule Serikalini ili maamuzi yafanywe vile atakavyo huyo dikteta hata kama hakuna ushahidi. Inahusu uhuru na haki ya vyama vya siasa kufanya shughuli zake ikiwemo mikutano ya ndani, maandamano na mikutano ya hadhara bila uhuru na haki hiyo kuingiliwa na yeyote yule.
Acha kuonyesha ujuha wako hadharani.
Unazunguka kwa maneno mengi....Aisee we jamaa mpumbavu sana!!! Kwani kuwepo demokrasi Tanzania inahusu Chadema tu!? Ngoja nikutoe ujinga mpuuzi wewe. Demokrasi inahusu Watanzania kuwa na haki na uhuru wa kuchagua Viongozi tuwatakao kuanzia Madiwani, Wabunge na Rais badala ya wahuni kupora uchaguzi na kutuwekea wahuni wasio na sifa. Inahusu haki na uhuru wa Watanzania kuikosoa Serikali bila hofu wala woga wakati wowote na mahali popote, inahusu uhuru na haki ya vyombo vya habari kutenda kazi zake za kila siku bila woga wa kutekwa au kufungiwa eti kwa kusema kweli kuhusu maovu ya Serikali. Inahusu uhuru na haki ya mahakama kufanya kazi zake bila kuingiliwa na yoyote yule Serikalini ili maamuzi yafanywe vile atakavyo huyo dikteta hata kama hakuna ushahidi ili Watanzania wasio na hatia wabambikiwe kesi FEKI za uchochezi, ugaidi au uhujumu uchumi. Inahusu uhuru na haki ya vyama vya siasa kufanya shughuli zake ikiwemo mikutano ya ndani, maandamano na mikutano ya hadhara bila uhuru na haki hiyo kuingiliwa na yeyote yule.
Acha kuonyesha ujuha wako hadharani.
Unazunguka kwa maneno mengi....
Hoja ni yako kusema kuwa Dr.Mpango alituambia kuwa nchi wafadhili wamepunguza michango yao kwetu.....
Nikakuuliza iwapo hao nchi rafiki zetu walitoa sababu ya kuipunguza hiyo misaada ?!!!
Sasa umekuja na SPECULATIONS zako "kibwena"....
Lini USAID walisema wanapunguza misaada kwetu kutokana na MANENO YAKO MENGI ULIYOANDIKA hapo juu?!!
Lini GTZ ,NORDIC ,DANIDA ,JICA walisema kuwa wanatupunguzia misaada kutokana na SABABU NYINGI ULIZOZIJAZA HAPO JUU?!!
Unaendelea kuzunguka badala ya KUJIBU maswali niliyouliza...🤣Una ufinyu wa akili huwezi kuelewa nilichoandika. Soma mstari mmoja mmoja labda utaelewa nilichoandika. Ndiyo matatizo ya kusoma shule za kata. Eti misaada imepunguzwa na nchi wafadhili kwa kuikandamiza Chadema.🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli Askofu Bagonza hakukosea aliposema tulipokuwa na Chuo Kikuu kimoja nchini hatukuwa na Wapumbavu wengi kama ilivyo sasa. Kuongezeka kwa vyuo vikuu nchini kumekuwa na negative impact kwani Wapumbavu pia wameongezeja kwa kasi ya kutisha.
Unaendelea kuzunguka badala ya KUJIBU maswali niliyouliza...🤣
Huko chuo kikuu ndiko ulikofundishwa "janja" hiyo ya ARGUMENTUM AD HOMINEM?!!! 🤣
Ungeonyesha kuwa wewe si zwazwa kwa kujibu maswali niliyokuuliza badala yake umezidi kusakafia "ARGUMENTUM AD HOMINEM" 🤣Sijibu maswali ya kipuuzi mimi. Kama unakuja kuandika ujinga wako humu huku ukiwa hujui yale yanayojiri nchini huo ni upumbavu wako.
Nenda kamuulize Mpango sababu za Nchi wafadhili na mashirika ya kimataifa kukata misaada yao kwenye bajeti. Umeathirika na elimu ya kuunga unga ya shule za kata. Eti nimekuuliza maswali hujibu 🤣🤣🤣🤣🤣 wewe kweli ZWAZWA!!!
Sijibu maswali ya kipuuzi mimi. Kama unakuja kuandika ujinga wako humu huku ukiwa hujui yale yanayojiri nchini huo ni upumbavu wako.
Nenda kamuulize Mpango sababu za Nchi wafadhili na mashirika ya kimataifa kukata misaada yao kwenye bajeti. Umeathirika na elimu ya kuunga unga ya shule za kata. Eti nimekuuliza maswali hujibu 🤣🤣🤣🤣🤣 wewe kweli ZWAZWA!!!
Wakulaumiwa ni Habibu B. AngaYani huyu aliyewafundisha kuandika Deep state alikosea sana😁😁 kila kitu deep state.
Ungeonyesha kuwa wewe si zwazwa kwa kujibu maswali niliyokuuliza badala yake umezidi kusakafia "ARGUMENTUM AD HOMINEM" 🤣
Unasemaje kuwa ni maswali ya kipuuzi kisa hutaki kuyajibu kwa sababu UZIJUAZO halafu usingizie mipaka yako ya kudeal nayo...🤣
They help us but very inadequate , it is €100 million a year.Wewe kweli mpuuzi hata kinachoendelea nchini hukijui. Mara ngapi yule Mpango alikuwa akilalamika kuhusu mchango wa nchi za wafadhili na mashirika ya umma kupunguza misaada na mikopo yao hivyo kuathiri bajeti? Unaishi dunia ipi wewe? Kuandika ujinga ujinga kila leo kumbe hujui hata yanayojiri nchini!!!
They help us but very inadequate , it is €100 million a year.
About 2 third of this fund returned to Europe.
The 11th European Development Fund (EDF) National Indicative Programme (NIP) allocated €626 million for the 2014-2020 funding period. This is the main strategic instrument to implement the EU priorities in Tanzania, which respond to a large extent to 3 priorities areas:
Ni Kama watanzania walivyolisikia neno Freemason kwa Mara ya Kwanza Basi Kila kitu kikawa frimason🤣🤣🤣🤣🤣Yani huyu aliyewafundisha kuandika Deep state alikosea sana😁😁 kila kitu deep state.
Serikali kanwe haiwezi kuruhusu anarchy kwa kisingizio chochote kile au kwa kuogopa lolote lile. Amani na utulivu lazima viwepo ili wananchi tupate fursa ya kujietea maendeleo.Nani kakudanganya vyama vya upinzani ni CHADEMA? mnajiita chama kikuu cha upinzani na hamna hata wabunge, chama cha upinzani kinacholazimisha vurugu ambazo wananchi hawaziungi mkono wafadhili gani hao wataokisikiliza? kama JPM licha ya kuwakalia kooni na kuingilia maslahi yao hao mabeberu bado akihitaji mkopo walimpa sembuse huyu mama alowalegezea?
Binadamu ni wageukaji wakati wowote.