n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Acha kutetea upuuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo magufuli aliuwawa?
Ndio ninachokataa kuwa magufuli aliuwawa nijuacho Mimi it's natural death
Sijatetea tutofautishe ugaidi na uhainiAcha kutetea upuuzi.
Kwenye uzi moja nimeona mnapeana pole but trust me Mbowe anapewa kesi ya k/kooTuwaulize wenye TOPAZ yao
Maana sisi hatujasema lolote, wameanza kuropoka wenyeweeee
Duh! Hatari [emoji91]Nampongeza rais Suluhu kwa kutokurupuka kumnasa Mbowe mapema. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, sitoend mbali na kuwaboa kwa kuandika gazeti hapa. Kuna maongezi ya kina Mbowe ambayo ni nyeti yalinaswa na serikali na baada ya hapa wakaanza kufuatiliwa taratibu mpaka serikali ikajiridhisha nayo ndipo wakamkamata huyu gaidi. Hasira za kukosa urais zimemponza Mbowe na Lissu na ndiyo maana Lissu hataki kurudi nchini anaogopa kunyongwa.
Tunatofautishaje wakati genge lake limeshasema limemalizana na JPM sasa litamnyoa SSHSijatetea tutofautishe ugaidi na uhaini
haki uliiona kwa Sabaya tu kwa Mbowe sio haki kukamatwa na kufunguliwa mashitaka anayo tuhumiwa nayo?Nchi ya ajabu sana hii Africa tutaishia visasi tu ....milele amina upuuzi na sibu kwa mama....ndio alisema anaongoza kwa haki yeye islam safi ? Mmmm wapi sasa upuuzi mtupu
Atakua nazo nyingi tuuKwenye uzi moja nimeona mnapeana pole but trust me Mbowe anapewa kesi ya k/koo
Sasa kumuua rais ni ugaidi au UHAINI?Tunatofautisha wakati genge lake limeshasema limemalizana na JPM sasa litamnyoa SSH
Tuacheni buana, msiba unaumaaaaa[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli [emoji885]
Mungu tutunzie mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan [emoji120]
StrongHata kwa DC Sabaya wapo walio amini na wapo ambao hawakuamini lkn leo hii yupo mbele ya mahakama. Mahakama ndio Jukumu lake kuamua kama Mbowe na wenzake ni Magaidi au la.
tuache sheria ifanye kazi yake.
Mbowe na wenzake sio Malaika, ni binaadamu kama walivyo binaadamu wengine, mambo yake mengine ya siri hatuyajui.
Vyovyote vile, watabainisha vyombo husikaSasa kumuua rais ni ugaidi au UHAINI?
Naona mmeanza tena kuishiwa na akili ila tambueni kuwa mbowe hatakaa jela mda mrefuVyovyote vile, watabainisha vyombo husika
Nimenukuu uzi moja umeanzishwa jukwaani na jinga laoKuna mahali wamesema kamuua magufuli au wewe uliye ndaninya kempu yenu ya mbowe ndio unajua hivyo? Basi anyongwe labisa kama ndio hivyo