Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

kumbe alianzisha harakati za katiba mpya kwa maksudi tu ili ikitokea anakamatwa na polisi basi iwe rahisi kutuhadaa na kuuhadaa ulimwengu eti kuwa kakamatwa kwa kudai katiba mpya!! aisee!!! Mbowe na kundi lake ni zaidi ya majambazi.

Tunamuomba Msajili wa Vyama akichunguze kwa makini hiki chama cha Chadema inaonekana kuna mtandao mkubwa wa kigaidi/kihalifu/kijambazi nchi nzima, Jeshi letu la Polisi wafanye uchunguzi kwa umakini mkubwa ili kubaini mtandao wote ili washughulikiwe kikamilifu kabla hawaja sababisha madhara kwa wananchi.

Amani ya Tanzania ni Muhimu zaidi kuliko chama cha kigaidi.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Nchi ya ajabu sana hii Africa tutaishia visasi tu ....milele amina upuuzi na sibu kwa mama....ndio alisema anaongoza kwa haki yeye islam safi ? Mmmm wapi sasa upuuzi mtupu
 
Hizi kesi za hovyo hovyo serikali ingeachana nazo juzi tuu hapa wamesema waangalie kesi za kubambikia watu hao viongozi wa Serikali wanaouliwa na mbowe ni wepi kila kukicha watu na viongozi wanakufa na Corona mambo ya hovyo yanaifanya Nchi isiwe na nuru hata kwa lolote mnalopanga ndio maana mkipata laana mnakuja na sheria za kodi zisizoeleweka..mmejiwekea kinga ya kutoshtakiwa ili mnyanyase raia wenu mbaya sana...ila yote hayo yana mwisho endeleeni na sinema zenu
 
Mataga wamekumbukwa nao mbiombio kuja kuharisha huku.

Hamna kesi hapo ni utopolo tu,

Ukute mastermind wa huo uzushi ni madelu baada ya kuona miamala ya Kodi katika Simu inamkaba Koo.

Si mnakumbuka wkt ule issue hii ya ugaidi alimsakizia lwakatare, naona anadhani ni njia sahihi kwake kuwatisha watu lkn hatafanikiwa.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Nampongeza rais Suluhu kwa kutokurupuka kumnasa Mbowe mapema. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, sitoend mbali na kuwaboa kwa kuandika gazeti hapa. Kuna maongezi ya kina Mbowe ambayo ni nyeti yalinaswa na serikali na baada ya hapa wakaanza kufuatiliwa taratibu mpaka serikali ikajiridhisha nayo ndipo wakamkamata huyu gaidi. Hasira za kukosa urais zimemponza Mbowe na Lissu na ndiyo maana Lissu hataki kurudi nchini anaogopa kunyongwa.
Duh! Hatari [emoji91]
 
Sijatetea tutofautishe ugaidi na uhaini
Tunatofautishaje wakati genge lake limeshasema limemalizana na JPM sasa litamnyoa SSH
Tuacheni buana, msiba unaumaaaaa😢😢😢😢

Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli 🕊

Mungu tutunzie mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan 🙏
 
Nchi ya ajabu sana hii Africa tutaishia visasi tu ....milele amina upuuzi na sibu kwa mama....ndio alisema anaongoza kwa haki yeye islam safi ? Mmmm wapi sasa upuuzi mtupu
haki uliiona kwa Sabaya tu kwa Mbowe sio haki kukamatwa na kufunguliwa mashitaka anayo tuhumiwa nayo?

Sheria ni MSUMENO wacha ukate, MBOWE na wenzake sio MALAIKA....walijificha tu chini ya chama lkn mambo yao walio kuwa wanafanya huwezi kuamini, wanapanga kuuuwa watu? aiseee.

Na wengine watakamatwa msako bado unaendeleea
 
Tunatofautisha wakati genge lake limeshasema limemalizana na JPM sasa litamnyoa SSH
Tuacheni buana, msiba unaumaaaaa[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli [emoji885]

Mungu tutunzie mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan [emoji120]
Sasa kumuua rais ni ugaidi au UHAINI?
 
Hata kwa DC Sabaya wapo walio amini na wapo ambao hawakuamini lkn leo hii yupo mbele ya mahakama. Mahakama ndio Jukumu lake kuamua kama Mbowe na wenzake ni Magaidi au la.
tuache sheria ifanye kazi yake.
Mbowe na wenzake sio Malaika, ni binaadamu kama walivyo binaadamu wengine, mambo yake mengine ya siri hatuyajui.
Strong
 
Kuna mahali wamesema kamuua magufuli au wewe uliye ndani ya kempu yenu ya mbowe ndio unajua hivyo? Basi anyongwe labisa kama ndio hivyo
 
Tuhuma za kubambika tu hizi, hamna jipya hapo.

Polisi wangeanza kuwatafuta wale magaidi walioitwa ''wasiojulikana',
 
Back
Top Bottom