Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Wanangu nitawapa SUMU YA FIKRA kuwa wao Kama BINADAMU dhaifu WAPAMBANIE MATUMBO YAO kwa kazi za halali....Ndugu,
Unyonge huo, njaa inayodekezwa na woga WAKO ndio vinakufanya ushangilie udhalimu.
Katiba kuukuu iliyopo ni kwa ajili ya miungu watu na LABDA, tena kwa muda tu nyie vibaraka wao..
Kamwe wasipambane na SERIKALI...
Wakitaka SIASA dhidi ya CHAMA TAWALA basi wajiandae vyema kwa "gharama" watakazokutana nazo......
Ujinga mara moja tu!
#KaziIendelee
#AmaniYanguKwanza
#AmaniYaWenzanguKwanza