Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

Ndugu,
Unyonge huo, njaa inayodekezwa na woga WAKO ndio vinakufanya ushangilie udhalimu.
Katiba kuukuu iliyopo ni kwa ajili ya miungu watu na LABDA, tena kwa muda tu nyie vibaraka wao..
Wanangu nitawapa SUMU YA FIKRA kuwa wao Kama BINADAMU dhaifu WAPAMBANIE MATUMBO YAO kwa kazi za halali....

Kamwe wasipambane na SERIKALI...

Wakitaka SIASA dhidi ya CHAMA TAWALA basi wajiandae vyema kwa "gharama" watakazokutana nazo......

Ujinga mara moja tu!

#KaziIendelee
#AmaniYanguKwanza
#AmaniYaWenzanguKwanza
 
Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye...
Unajuwa serikali ina vyanzo vingi vyakupata habari baadhi wanaweza wasiamini hayo yanayosemwa kuwa alipanga ugaidi lakini angesfanikisha kila mtu angebaki mdomowazi tuwaache polii wafanya kaqzi yao mpaka mwisho atakuja kujitetea atasema kama kweli siuo gaidi na akipewa vielelezo ndiyo mtaamini na kama hakuna ataachiwa
 
Mh. Mbowe na wenzake waliwahi tena kutuhumiwa kupanga njama za kulipua vituo vya mafuta ya petrol hapa DSM, lakini wakaachiwa huru. Sasa kwa speed ya ajabu ya jeshi letu shupavu la polisi wanatuhuma mzito za ugaidi.

Rais Samia kati ya matamko yake maarufu tangu aingie madarakani ni kutaka jeshi la polisi kuacha kubambikizia wananchi kesi.
 
Hii movie kuhusu viongozi wa CHADEMA imeandaliwa kwa kiwango cha chini mno na inaabua maswali mengi kuliko majibu kuzidi hata ile ya kutekwa kwa MO.

Na kwakuwa jambo hili linaonekana kugusa hisia za watu wengi na kuvuka mipaka ya nchi huku shinikizo likiongezeka, sitashangaa wakati wiwote wakatafutwa watu wa kubebeshwa lawama na hao wanaweza kuwa ni Sirro na pengine hata Boss wa TISS

Inawezekana Mama asiwe na wazo la kubebesha mtu lawama kwa makosa yake, ila wanasiasa wenzake na ambao ni wakongwe ndani ya chama, wanaweza kumshauri afanye uamuzi wa kuwato watu mbuzi wa kafara ili kulinda image yake.

Tuhuma hizi ni nzito, ngumu kuzithibitisha na inaonekana walizi-underestimate huku dunia ikifuatilia, hivyo ni lazima wajisafishe na katika kujisafusha huko, Sirro ndio anaeweza kuwa wa kwanza kubebeshwa zigo la lawama kwa kuondolewa katika nafasi yake huku Boss wa TISS nae akikalia kuti kavu.

Tusubiri.

we tulia wafanye kazi yao,
 
HAO CHADEMA WANGEMPA MAMA ANGALAU MUDA WA MWAKA MOJA AIPANGE SERIKALI YAKE, HALAFU BAADA YA HAPO WAONYESHE KUKOSA UVUMILIVU, TUNGEELEWA. LAKINI RAISI MPYA MADARAKANI SIKU 120 TU WANAMFANYIA VITIMBWI VYOTE HIVYO?!!! HAYO NI MAJARIBU YALIYOPITILIZA. HATA HIZO TAASISI ZA KIMATAIFA HAZIJAAMBIWA UKWELI.
 
Wanangu nitawapa SUMU YA FIKRA kuwa wao Kama BINADAMU dhaifu WAPAMBANIE MATUMBO YAO kwa kazi za halali....

Kamwe wasipambane na SERIKALI.....
Ndugu,

Ninaamini kuwa ugonjwa huo unaowatesa waafrika wengi mpaka sasa, utatibika tu baada ya kupata katiba bora.

Hakuna atakaeweza kuizuia. AMEN.
 
Hakuna kiongozi yeyote makini anaetaka amani na utulivu akawavumilia chadema na huu ndo ukweli Chadema mnafanya siasa za kizamani sana mnafanya siasa zilizokuwa zinafanyika enzi za kupigania uhuru

JPM ndo aliwaweza vzr Gwanda zilikuwa night dress mnazivaa usk wkt wa kulala
Yuko wapi sasahivi huyo Jiwe au ule ulinzi wote ulishindwa kuzuia malaika mnyakua roho asimguse.
 
Ndugu,
Ninaamini kuwa ugonjwa huo unaowatesa waafrika wengi mpaka sasa, utatibika tu baada ya kupata katiba bora.
Hakuna atakaeweza kuizuia. AMEN.
Katiba mpya ya ndotoni mkuu....

Waafrika si wazungu.....MAISHA yetu ni mazuri tu kwa VIWANGO VYETU.....

#NchiKwanza
#UtulivuKwanza
 
ugaidi una maana pana zaidi

Ugaidi una maana moja tu...

Ugaidi ni mfumo wa kulenga mabadiliko ya kisiasa kwa kutisha watu kwa njia ya vurugu au mauaji. Matendo ya kigaidi yanatisha kwa sababu watu wanajeruhiwa au kuuawa. Watendaji wa ugaidi kwa kawaida ni vikundi au watu wasio na cheo au nafasi rasmi.
 
Ndugu,
Ninaamini kuwa ugonjwa huo unaowatesa waafrika wengi mpaka sasa, utatibika tu baada ya kupata katiba bora.
Hakuna atakaeweza kuizuia. AMEN.
mi sidhani kama katiba mpya ni dawaya kuifanya nchi ikaishi kama iko peponi katiba mpya ni tamaatu ya madaraka kwa upande wampili yaani wapinzani ambao wanaamini kila uchaguzi wanaibiwa kura wanachowinda hapo ni tume huru ya uchaguzi tu
 
Nikikwambia mama kapewa taarifa za inteligence kuhusu sakata lote na kapigwa na butwaa na kuacha polisi na vyombo vya uchunguzi vifanye kazi yake utabisha?
Tulieni kamanda na genge wachunguzwe, kama hawana hatia wataachiwa kama wana hatia na kama wanahusika na laifu la mpendwa wetu jpm, ni nora wakalae jela maisha maana mtaani tutatoboa macho yao na penseli zenye mcha kali.
Ule ulinzi wote ilikuwaje mtu kama Mbowe ahusike na kifo kirahisi hivyo? Wallah ukiwa ccm tu akili unakuwa umemwachia mtu wewe unabaki na fuvu tupu.
 
Hawa jamaa kwa ujinga wao, wamefanya wananchi waanze kuamini upya kuwa Chuma aliuawa, Sasa watu mitaani wanataka majibu ni nani alihusika na kula njama hizo, Je wastaafu wanaotajwa walishirikiana na Mbowe kutekeleza hizo njama?

Wamefungua Pandora box wasiloweza kulifunga
Hao viongozi wastaafu hawangeweza kushirikiana na Mbowe maana wao walitosha
 
mi sidhani kama katiba mpya ni dawaya kuifanya nchi ikaishi kama iko peponi katiba mpya ni tamaatu ya madaraka kwa upande wampili yaani wapinzani ambao wanaamini kila uchaguzi wanaibiwa kura wanachowinda hapo ni tume huru ya uchaguzi tu
Mkuu, sio tu haudhani, bali ni kwamba, katiba haitufanyi tuishi kama tu peponi na haileti maendeleo

Maendeleo ni kanuni, na kanuni ya maendeleo isipofuatwa na kusimamiwa, hakuna maendeleo
 
Tukija kustuka tozo hazijashuka,na mbowe kaachiwa!

Hii ndo Tanzania, viongozi wanafanya watakalo kututoa kwenye ya msingi!

Sasa hivi hakuna anaeongelea tozo tena,imeisha hiyo!wanyonge watazidi kuwa wanyonge,wenye ela wako busy na mbowe huku wakiacha kujali maslahi ya wanyonge!
 
Hii movie kuhusu viongozi wa CHADEMA imeandaliwa kwa kiwango cha chini mno na inaabua maswali mengi kuliko majibu kuzidi hata ile ya kutekwa kwa MO.

Na kwakuwa jambo hili linaonekana kugusa hisia za watu wengi na kuvuka mipaka ya nchi huku shinikizo likiongezeka, sitashangaa wakati wiwote wakatafutwa watu wa kubebeshwa lawama na hao wanaweza kuwa ni Sirro na pengine hata Boss wa TISS

Inawezekana Mama asiwe na wazo la kubebesha mtu lawama kwa makosa yake, ila wanasiasa wenzake na ambao ni wakongwe ndani ya chama, wanaweza kumshauri afanye uamuzi wa kuwato watu mbuzi wa kafara ili kulinda image yake.

Tuhuma hizi ni nzito, ngumu kuzithibitisha na inaonekana walizi-underestimate huku dunia ikifuatilia, hivyo ni lazima wajisafishe na katika kujisafusha huko, Sirro ndio anaeweza kuwa wa kwanza kubebeshwa zigo la lawama kwa kuondolewa katika nafasi yake huku Boss wa TISS nae akikalia kuti kavu.

Tusubiri.
Mkuu naona bado huamini kuwa mama anaupiga mwingi nje ya uwanja
 
Back
Top Bottom