Freeman Mbowe: CCM ijenge mifumo ya kudhibiti viongozi wake ndani ya Chama ili wasiumize Watanzania

Msimamo ni wote tuhamie kwa mama
 
Leo tarehe 8/03/2023 kunafanyika kongamano kubwa la Siku ya wanawake Duniani lililoandaliwa na ile ile Taasisi bora ya Akina Mama Barani Africa (BAWACHA)

Mgeni rasmi kwenye Kongamano hilo ni Rais wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan.

Kulikuwa na uvumi wa kizushi kwamba wale Covid 19 wakiongozwa na Halima Mdee watahudhuria .

Sasa ombi langu ni hili hapa , ALIYEMUONA HALIMA MDEE NA MAMLUKI WENZAKE ANIONYESHE UPANDE WALIPOKAA KWENYE UKUMBI WA MKUTANO HUO .

Nakala : johnthebaptist Petro E. Mselewa Pascal Mayalla
 
Msigombane wanangu, sisi ni ndugu wote, ccm A, ccm B na CCM c, kabaki Rungwe tu.
 
Mbowe is flopping.
Anamualika rais na Mwenyekiti wa CCM na kuanza kukisakama Chama Chake, huku ni kumtengenezea mgogoro rais na Chama Chake.
Nauona huu mkutano hautaisha vyema.
 
Mbowe anajua ku flip na ku flop...
Naona sasa amerudi kwenye the right track
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…