Freeman Mbowe: CCM ijenge mifumo ya kudhibiti viongozi wake ndani ya Chama ili wasiumize Watanzania

Naomba nioneshwe sehemu Freeman Mbowe amesema "Rais Samia, CCM ilipora uchaguzi na kuumiza watu" kama heading ilivyo hapo juu!!
 
Mh. Rais Samia "Hiki KINACHOFANYIKA sasa cha mimi kushirikiana na nyie sio kirahisi, sio kirahisi kwa upande wangu na sio rahisi kwa upande wenu pia. Mimi huwa napitia comment za jamii forums na ninaona ni namna gani wanavyituandika"

Mama ni member mwenzetu ila hatujui ni ID ipi anatumia
 
Enzi ya Magufuli mlisema ni laana kuunga juhudi zake lakini leo kumwimbia na kumsifu Mama Rais Samia na kumuunga mkono ni baraka.

Kweli siasa ni mchezo, Hongera Rais Samia, hongera CCM, karata mmeicheza vizuri.
 
Naomba nioneshwe sehemu Freeman Mbowe amesema "Rais Samia, CCM ilipora uchaguzi na kuumiza watu" kama heading ilivyo hapo juu!!

Acha kujificha , fuatilia live hapa TBC. Mbona mambo yapo wazi, shida mnajificha halafu mnaleta ubishi.
 
Fundi Mchundo naona mama hajajali wahafidhina, ameonyesha maturity ya hali ya juu sana
 
Covid19 wamepewa za uso🤣
Wamepewa za uso na Nani kama sio wanachama wenu wanaopigania hizo nafasi,Sema nnachotaka kukwambia wewe jamaa na wanachadema wenu mjifunze kuwa Rais ni Taasisi na yeye sio msemaji wa mwisho, wale 19 bungeni wapo kimkakati wa kukivunja chama chenu ndo mana Rais hajalizungumzia kabsaaa.
 
Leo tarehe 8/03/2023 kunafanyika kongamano kubwa la Siku ya wanawake Duniani lililoandaliwa na ile ile Taasisi bora ya Akina Mama Barani Africa (BAWACHA)...
Hutopata bali watakuja na agenda nyingine tofaut na ile walisema wale vovido 19 watakua kweny kongamano!! Na wengine tayar humu washabadili gia wameendelea na mamb ya asali na CCM A,B...
 
Zii kivipi? Mwendazake alikuwa na akili ndogo ndio maana alishindwa kuishi na Wapinzani

Wapinzani wap? hawa wachumia tumbo?

Mpaka sasa Watanzania wanaendelea kujifunza kujua usanii wa kisiasa kwemye majukwaa ya vyama ila nyuma ya pazia ni tofauti.
 
Enzi ya Magufuli mlisema ni laana kuunga juhudi zake lakini leo kumwimbia na kumsifu Mama Rais Samia na kumuunga mkono ni baraka.

Kweli siasa ni mchezo, Hongera Rais Samia, hongera CCM, karata mmeicheza vizuri.

Kaka unataka ugomvi kila siku?

Sometimes Acha mambo mengine mazuri yaendelee,

Uwez kushindana na serikali uwez kushindana na rais

Sasa hata ukikaza inakusaidia nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…