Freeman Mbowe: CCM ijenge mifumo ya kudhibiti viongozi wake ndani ya Chama ili wasiumize Watanzania

Nenda katufute clip ya Tulia alivyomjibu Sugu na usikilize hoja alizotumia kumjibu.
Simkubali Tulia ila mimi si mfungwa wala mateka wa hisia, nipo huru sana
Weka link mkuu
 
Ameongea yaliyo moyoni mwake kwa heshima na taadhima kubwa na hisia kali zenye heshima kubwa kwa rais!

Tumuige , ni mfano mzuri namna ya kuongea matakwa yako kwa wenye mamlaka
Mwamba kama Mwamba , hii ni nguzo ya amani
 
Wapinzani wap? hawa wachumia tumbo?

Mpaka sasa Watanzania wanaendelea kujifunza kujua usanii wa kisiasa kwemye majukwaa ya vyama ila nyuma ya pazia ni tofauti.
Siasa inahitaji sayansi siku izi.sio mabavu na nguvu kama enzi za ujima.time will tell.cdm oyeee
 
Ni mwaka gani waliukubali ushindi wa ccm
 
CHADEMA inamsaidia sana Mh. Rais Samia Hassan kuleta mageuzi ndani ya CCM kwa kubainisha yale ambayo wanaCCM hawawezi kumsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano kutokana na uhafidhina au wana CCM kuwa wachoyo kisiasa.
 
Inaoneka unajua ukwel juu ya hao vovido 19, kwa niaba ya jamvi hili tuwekee huo ukwel au evidence kua hao vovido wameweka na CDM!!
 
Zilipendwa.
 
Hata haichekeshi, ime expire hii na wala haikuwahi kutumika, achana nayo
 
Kumbe huwa anapitia maon yetu eeh...
 
Lakini hili la kuwa uchaguzi unapoisha siasa zinaenda likizo halijakaa vizuri. Katika ncho za Magharibi wanaamini kuwa uchaguzi unaanza pale ule uliotangulia unapoishia. Vyama vya kisiasa na wagombea wanaanza kujipanga pale tu matokeo yanapotangazwa.

Ni haki ya kila raia na chama kufanya siasa wakati wowote wanaoona ni muafaka. Na hamna madai ya lugha ya staha kwa sababu yataweza kutumika kuwadhibiti watu wanao onekana kuwa tishio kisiasa.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…