Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

Sasa Mh.Mbowe anasema Tarehe 4/4/2020 mikutano ya vyama vya siasa lazima ianze nchi nzima tukipigwa itakuwaje? Au tusubirie Corona itoweke kwanza.
 
"Nawatangazia viongozi wote wa CHADEMA nchi nzima kuanzia Majimbo, Kanda, Kata, Vijiji na Mitaa kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima, kwanza ni kudai tume huru na pili ni maandalizi ya Uchaguzi Mkuu" - freemanmbowetz
 
Kumbe ni mapambano ya ukabila na sio mabadiliko?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kina Mh. Mbowe wahuni, ukienda uchagani huko wana vikundi vyao, kina mbowe wanatumwa, ingawa system imewathibiti kikamilifu na uzuri Mwl alijenga mfumo ambao hauna mtu kuuzoea hata ukikaa miaka kibao. Wachaga bado wanaamini rais lazima atoke kwao na pia wanaamini nyazifa nyeti zote lazima washike wao ili washindane kuiba
 
Hofu ya nini kwani waziri wa afya na Rais si washasema Hatuna Corona? Corona ikiingia nchini maana yake wahusika wamefanya uzembe, watu hawawekwi karantini wanavuka tu airport kienyeji.
Tatizo lenu wasomi ndani ya kikundi chenu mmewaweka pembeni mkatanguliza mihemuko mihemuko. Hotuba ya Mh. Mbowe haikuandaliwa kabisa na wala hakuhusisha wabobezi ili aongee nini zaidi ya hisia zake ndiyo maana kaishia kuropoka ropoka
 
Hotuba imejaa majigambo, chuki binafsi kwa serikali, viashiria vya ukabila na uvunjifu wa amani. Hakuna mkakati mbadala wa kisera aliouzungumzia zaidi ya tambo za kufanya mikutano na kulalamika badala ya kujikita kwenye sera mbadala ambazo wapinzani wanaziamini. Pia kadanganya kuhusu akina Halima. Kwa hotuba hii CCM ni chama pekee kinaendelea kubaki na mikakati mathubuti ya kuinua uchumi wa watanzania.
Mudawote unaopenda MKUYENGE
 
Wanachadema woooote! Naomba mnoti hii.
Nataka mjue mbowe ni msanii, kaishiwa sera, mbowe hana hoja, mbowe ni mpiga diri ndani ya chadema!

ili kuthibitisha hii, watu wake wa jf hasa admini asiifute hii nyuzi na mchango wangu huu ili tarehe nne apr mthibitishe kuwa mbowe ni msanii na mpiga diri ndani ya chadema. tar..4 ,apr,2020 ikifika mbowe atabadiri gia kwakutangaza KORONA.

kwakuwa ametangaza aanze mikutano nchi nzima ndani ya tahadhari ya korona namuomba asije na hoja yakusitisha kwa sababu ya korona, harafu tuone UMWAMBA WAKE juu ya AMRI halali ya Rais.
nawasilisha tafadhari

masanjaone2020march.
 
Wangalau sasa Mbowe anazungumza lugha inayoeleweka japo imechelewa. Better late than never. Hapo tutapata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Ile lugha ya kutaka maridhiano ilikuwa ni lugha ya kimama na kweli ilinikwaza sana.
 
Back
Top Bottom