Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa.

Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo.

Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne nyuma ya Tundu Lissu na Odero Odero,

Je, kama Taifa tunatarajia nini kutoka Upinzani kuelekea 2025?

Usiondoke hapa Jf kwa habari zaidi,


View: https://www.youtube.com/live/8WGa7Xv3hKo?si=JjooipgRmN035_2F


Chawa wakiwa chobingo:

IMG_20211016_132442_593.jpg


Cc: imhotep
 
Mbowe sasa hivi ni saa sita na nusu kwa saa za Afrika mashariki.
Ulisema saa tano utaongea hawa waandishi na wahariri wa vyombo vya habari umewakalisha hapo kwako utawapikia?
Mke wangu yuko jikoni anawaandalia vitafunwa, hivyo msihofu vijana wangu. Alisikika Mbowe.
 
Back
Top Bottom