Freeman Mbowe, Mnyika na Viongozi CHADEMA wakutana na Rais Samia na Viongozi wa CCM Ikulu ya Chamwino - Dodoma leo 20/5/2022

Freeman Mbowe, Mnyika na Viongozi CHADEMA wakutana na Rais Samia na Viongozi wa CCM Ikulu ya Chamwino - Dodoma leo 20/5/2022

nyie mnaopinga. h.Mbowe kukutana na Serikali mpeni njia mbadala afanye nini maana kajaribu kuitisha maandamano mmemgomea mara kadhaa…sasa mnataka afanye nini?
Hata mi nawashangaa. Wachochee Watanzania wa kawaida ili kuilazimisha CCM kuleta mabadiliko. CCM walimfanyia hadaa mpaka Maalim Seif. Walijifanya kupatana lakini alipowashindwa kwenye sanduku la kura, wakafuta matokeo ya uchaguzi. Hivi Mbowe na wenzie wamesahau yote haya? CCM wana kawaida ya kujifanya wanapoona mambo hayaendi vizuri ili tu wakati wao wa kuiba kura ufike kukiwa na hali ya utulivu ktk nchi.
 
Tangu Mbowe aanze kwenda huko hakuna hata jambo moja lililowahi kufanyiwa kazi na serikali, sijui ugumu wa Samia kufanya hivyo unatoka wapi, na sijui uvumilivu wa Mbowe utaendelea mpaka lini, naona utani unazidi.

- Lissu bado hajarudi nchini, hii inawezekana bado hajahakikishiwa usalama wake.

- Mikutano ya vyama vya siasa bado haijaruhusiwa japo ni takwa la kisheria.

- Wale wahujumu uchumi 19 bado wanakumbatiwa na Spika kule bungeni kinyume cha sheria.
Hivi unasema hivyo kwani mbowe tangu ameanza kwenda ikulu ulishasikia ameeleza kwa kina walichoongea? Pesa noma kaka keshalamba asali mbowe
 
To open up a new chapter as a nation haijawahi kuwa dhambi...

Hili kama ni kweli bac ni jambo jema kwa kila mwenye pumzi..

Narudia tena Political reconciliation ndiyo njia pekee ya kujenga taifa imara lenye umoja na nguvu kiuchumi kisiasa na kiutamaduni.

Nchi haiwezi kujengwa na mawazo ya upande mmoja.
Hili ni jambo jema sana
 
Wakuu,

Muda huu M/Kiti wa CHADEMA na viongozi waandamizi 9 wa chama hicho wapo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.

Tutarajie jambo gani jipya? Ndo ukurasa mpya wa Siasa za Tanzania?

UPDATE:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja na Viongozi Wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 20 Mei, 2022.

Baadhi ya Viongozi wa CHADEMA waliohudhuria Kikao hicho ni Mwenyekiti Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti Zanzibar Saidi Issa Mohamed, Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika pamoja na Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu na Sekretarieti ya Chama hicho.

View attachment 2232248View attachment 2232250
View attachment 2232257View attachment 2232258View attachment 2232259

View attachment 2232260
Thanks for this
P
 
Hili ni jambo jema sana
Brother, kama siasa haziko sawa hamuwezi kusogea mbele as a nation. .angalia Congo ama Somalia.

Hapa kuna watu wqmekufa? wamepotea....damu nyingi zinalia..tatu wamefunwa maisha kisa uchaguzi aisee inauma hapana hapana
 
Brother, kama siasa haziko sawa hamuwezi kusogea mbele as a nation. .angalia Congo ama Somalia.

Hapa kuna watu wqmekufa? wamepotea....damu nyingi zinalia..tatu wamefunwa maisha kisa uchaguzi aisee inauma hapana hapana
Wanapokaa ndipo suluhu inapatikana mkuu
 
20 May 2022
Ikulu Chamwino
Dodoma, Tanzania


Rais Samia Hassan akifanya mazungumzo na Viongozi waandamizi wa CHADEMA walioongozwa na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe Ikulu Dodoma

 
Wana CCM radical hawatapenda kabisa hii kitu mama Samia anafanya.

Kwangu mimi na kwa faida ya watoto wangu wadogo nasema hibi Mama Samia upo sahihi..Sauti za wengi ndiyo huwa ni sauti ya Mungu.

Mama usije kuhukumiwa ukiwa hai, mwenyezi Mungu anaweza kufanya lolote kuzinusuru sauti za wengi.

Upo sahihi, tena sahihi sana sana...waandikq legacy tunawamudu mbona.
Chadema wanamtambua Rais au awamtambui?
 
Mbowe hataleta mabadiliko. Watu wenye uwezo huo ni akina Lissu na Lema. Hawa wanao uwezo wa kuilazimisha serikali kuleta mabadiliko. Bahati mbaya wako nje. Warudi haraka. Hii njia ya Mbowe tuliiona kwenye miaka ile kule Zanzibar. Na matokeo yake tunayajua vizuri sana. Samia amekwishasema mpaka 2030. Kama CHADEMA naye anakubaliana na hilo basi... CCM mbele kwa mbele.
nyie mnaopinga. h.Mbowe kukutana na Serikali mpeni njia mbadala afanye nini maana kajaribu kuitisha maandamano mmemgomea mara kadhaa…sasa mnataka afanye nini?
 
Hah hah Freeman Mbowe, JJ Mnyika ndani ya Ikulu wakifuatilia ahadi kibao za serikali ya CCM awamu ya 6 iliyotoa kwa vyama vya siasa, waTanzania na pia kwa Jumuiya ya Kimataifa kule Geneva kuwa haki na ahadi 252 zinatekelezwa ...



23 March 2022
Geneva, Switzerland

Mikataba 252 ambayo Tanzania iliridhia na inayogusa haki zote ikiwemo UWAZI ni kama ifuatayo



Mh. George Simbachawene akihutubia UMoja wa Mataifa kuhusu haki haki na kuuhakikishia ulimwengu kuwa haki zote ktk awamu ya 6 zinazingatiwa



Tanzania yaridhia umri wa kuoa na kuolewa, mimba za utotoni, uhuru wa habari, kufunguliwa vya vyombo vya online pia magazeti, imeridhia mikutano ya vyama vya siasa kufanyika, kuna masuala 65 ambayo hayalingani na tamaduni, imani na desturi za Tanzania bado hayajakubaliwa, hukumu ya kifo, sheria ya makosa dhini ya watu wenye hali ya u albino, ukatili wa kijinsia, ....

GEORGE B. SIMBACHAWENE, Minister of Constitutional and Legal Affairs of Tanzania, said Tanzania was a strong proponent of the Universal Periodic Review mechanism which brought together State actors, civil society and development partners. As the Government pursued the goal of realisation of human rights for all Tanzanians, the recommendations were given the highest consideration. All 252 recommendations were disseminated to State and non-State actors, including the National Human Rights Institution as well as civil society, in both mainland Tanzania and Zanzibar. As a result of broad-based consultations, Tanzania had accepted to implement 167 recommendations, which were in compliance with the Constitution of the United Republic of Tanzania and the Constitution of Zanzibar.

The recommendations aligned with policies, laws and programmes which called for the promotion and protection of civil, political, economic, social and cultural rights, emerging human rights issues, anti-corruption efforts, environmental conservation and development priorities of Tanzania. The Government affirmed its commitment to implementing all the accepted recommendations, which had been deemed strategic and effective interventions for the promotion and protection of human rights. 65 recommendations had been noted; those were recommendations that were not in alignment with the Constitutions, policies, laws, traditions, beliefs and culture of Tanzania, or which required further consultations before making a conclusive decision. The Government strived to ensure that all Tanzanians were provided with equal civil, political, economic, social and cultural human rights.

Discussion

Speakers applauded the Government of Tanzania for progress made in strengthening its institutional frameworks for the promotion and protection of rights and fundamental freedoms. Strides had been made in the area of social development, including the introduction of fee-free primary education and remote learning during the COVID-19 pandemic. Speakers further commended Tanzania on the establishment of the National Commission for Human Rights, which was in accordance with the Paris Principles. Speakers noted steps taken to curb child labour, as well as the measures taken by the Government toward ensuring freedom of expression and the right to information, which included entering into dialogue with media practitioners and amending some pieces of legislation. Tanzania’s acceptance of close to 75 percent of the recommendations showed real commitment to further promoting and protect the rights of all persons on its territory. The acceptance of recommendations prioritised expenditures in health including specialised care and services for people living with albinism, as well as scaling up investment in education.

Other speakers took note of the challenges faced by Tanzania in implementing some of its human rights obligations under Article 12(3) of the African Charter which recognized the right to seek and obtain asylum in other countries, as well as the 1951 Convention relating to the Status of Refugees. Speakers regretted that Tanzania did not receive any recommendations on the rights of sex workers, urging the Government to repeal the Penal Code provisions criminalising acts associated with sex work, place a moratorium on the arrest and harassment of sex workers under vagrancy laws, and revise and harmonise national legislation in line with regional and international human rights instruments. Tanzanian authorities continued to weaponise the law to target the opposition and critical voices, using non-bailable offence provisions under the Criminal Procedure Act to detain people for unreasonable periods of time. The State should ensure accountability for election-related human rights violations and guarantee post-election human rights reforms to reverse the Government’s increasing repression and crackdown on civic space.

The Vice-President of the Council informed that out of 252 recommendations received, 167 enjoyed the support of Tanzania, while 65 had been noted. Additional clarification was provided on 20 recommendations, indicating which parts of the recommendations were supported and which parts were noted

Concluding Remarks

GEORGE B. SIMBACHAWENE, Minister of Constitutional and Legal Affairs of Tanzania, said Tanzania continued to accord great significance to the Universal Periodic Review, as it played a key role in the promotion and protection of human rights in the country. Tanzania was committed to implementing the accepted recommendations, as they would have a direct impact on the realisation of human rights and sustainable development of the country. The Universal Periodic Review was a continuous process, and the Government would continue to address the remaining challenges through dialogue, in collaboration with all stakeholders. It would also continue to strengthen its internal mechanisms and promote engagement with all non-State actors and development partners. The Government, under the stewardship of Tanzania’s first female President, would meet the aspirations and objectives of the Universal Periodic Review mechanism during the coming fourth cycle.



Link: Conseil des droits de l’homme : Examen périodique
 
Itakuwa wanataka kuachana na ile kesi ya mchongo ya Kina Mdee. Au wanataka kuzuia haya makongamano ya Katiba mpya yanayotakiwa kuanza.

Tangu Mbowe aanze kwenda huko hakuna hata jambo moja lililowahi kufanyiwa kazi na serikali, sijui ugumu wa Samia kufanya hivyo unatoka wapi, na sijui uvumilivu wa Mbowe utaendelea mpaka lini, naona utani unazidi.

- Lissu bado hajarudi nchini, hii inawezekana bado hajahakikishiwa usalama wake.

- Mikutano ya vyama vya siasa bado haijaruhusiwa japo ni takwa la kisheria.

- Wale wahujumu uchumi 19 bado wanakumbatiwa na Spika kule bungeni kinyume cha sheria.

Kila siku boss?
Siasa ni process mkuu, hata huko Ukraine kuna watu wanachapwa lakini kuna watu wapo underground kuhakikisha vita inakwisha.

Mandela alikuwa akifuatwa na helicopter kwa siri gerezani na kwenda kuzungumza na De clerk ikulu kwa miaka kadhaa mpaka wakakubaliana.

Msione vitu tu vinatokea, leo uhuru Kenyatta na Odinga damu damu ulitegemea hilo?

Hebu jifunzeni modern politics, radical politics hazilipi.
 
Hakuna cha ukurasa mpya wala nini. Hii ni series. Na hata tulipo ni marudio ya 2000s, enzi wa Mwafaka kule Zanzibar ulioishia kwenye kubatilisha ushindi wa Maalim 2015. Hii sinema tumekwishaiona. Mbowe tu ndiye haikumbuki.
Tutarajie jambo gani jipya? Ndo ukurasa mpya wa Siasa za Tanzania?
 
Back
Top Bottom