Siasa ni process mkuu, hata huko Ukraine kuna watu wanachapwa lakini kuna watu wapo underground kuhakikisha vita inakwisha.
Mandela alikuwa akifuatwa na helicopter kwa siri gerezani na kwenda kuzungumza na De clerk ikulu kwa miaka kadhaa mpaka wakakubaliana.
Msione vitu tu vinatokea, leo uhuru Kenyatta na Odinga damu damu ulitegemea hilo?
Hebu jifunzeni modern politics, radical politics hazilipi.
Katiba ya Zanzibar utafananisha na JMT? Uko sawa kichwani wewe?
Maalim Seif amefariki akiwa ni makamu wa kwanza wa Rais.
Like Kama anaumwa, angepumzikaMzee Kinana naona kama amezeeka sana!
au ni macho yangu hayapo sawa!
Mkuu mimi sio muumini wa hivi vikao. Hili sio kosa lako ni langu. Muda utaamua.
Ndio demokrasia yenyewe, ni kukubaliana kutokukubaliana, ila msingi wa demokrasia ni wengi wape, wengi wanaunga mkono hatua hii.Mkuu mimi sio muumini wa hivi vikao. Hili sio kosa lako ni langu. Muda utaamua.
Mungu zidi kuibariki CHADEMAWakuu,
Muda huu M/Kiti wa CHADEMA na viongozi waandamizi 9 wa chama hicho wapo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Tutarajie jambo gani jipya? Ndo ukurasa mpya wa Siasa za Tanzania?
UPDATE:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja na Viongozi Wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 20 Mei, 2022.
Baadhi ya Viongozi wa CHADEMA waliohudhuria Kikao hicho ni Mwenyekiti Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti Zanzibar Saidi Issa Mohamed, Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika pamoja na Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu na Sekretarieti ya Chama hicho.
View attachment 2232248View attachment 2232250
View attachment 2232257View attachment 2232258View attachment 2232259
View attachment 2232260
Yupo kimkakati hapo, mama akishalamba mitano tena ndio atapumzika.Like Kama anaumwa, angepumzika
Yule mwandishi class A hii si habari njema kwake.😄😄Mungu zidi kuibariki CHADEMAView attachment 2232333
Nimefurahishwa na uwepo wa Mjumbe wa Kamati Kuu John Heche20 May 2022
Ikulu Chamwino
Dodoma, Tanzania
Rais Samia Hassan akifanya mazungumzo na Viongozi waandamizi wa CHADEMA walioongozwa na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe Ikulu Dodoma
AminaMungu zidi kuibariki CHADEMAView attachment 2232333
Umesahau kwamba Kuna mhimili uliojichimbia zaidi?.Kesi Iko mahakamani, hakuna mhimili unaweza kuingilia mahakama
We salary sleep had muda huu hujui ishu ni covid 19Mbowe awe makini, CCM sio wa kuamini kuwa wanaweza kuweka mazingira yatayoruhusu wao kuachia dola kwa amani.
Anyway, inawezekana strategy ya CHADEMA ni kwanza kutumia meza ya mazungumzo(wasije kulaumiwa kuwa walikataa hiyo fursa), ili kesho na keshokutwa wakitumia mbinu mbadala, wasilaumiwe.
Kwa maneno mengine, watayokubaliana yatakuwa documented na kuwa public, hivyo ataenda kinyume, ndio atalaumiwa.
Ni mtazamo wangu.
Kwa hiyo 2025 Chadema mmekubaliana hakuna wa kumzuia Samia?? Ok tusubirie 2030 lisu ataachiwa urais 😂😂Yupo kimkakati hapo, mama akishalamba mitano tena ndio atapumzika.
Bado kuna waasi ccm sasa huyu Kanali ndio mtu sahihi kuwanyoosha na kumuweka mama salama bila kumjaribu, huyu ni Comrade.
Umeumia sana..teh teh CHADEMA NI TAASISI KUBWA...Bora nikae kimya tu [emoji1784]
Duh, umegusa 'buttons' zote zenye maumivu kwa CHADEMA katika andiko fupi kabisa!Tangu Mbowe aanze kwenda huko hakuna hata jambo moja lililowahi kufanyiwa kazi na serikali, sijui ugumu wa Samia kufanya hivyo unatoka wapi, na sijui uvumilivu wa Mbowe utaendelea mpaka lini, naona utani unazidi.
- Lissu bado hajarudi nchini, hii inawezekana bado hajahakikishiwa usalama wake.
- Mikutano ya vyama vya siasa bado haijaruhusiwa japo ni takwa la kisheria.
- Wale wahujumu uchumi 19 bado wanakumbatiwa na Spika kule bungeni kinyume cha sheria.
Chawa kaeni kimya mnaharibu Nchi kwa ushauri wa KichawaBora nikae kimya tu [emoji1784]