chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Wakati wa uchaguzi CCM hawanaga urafiki, wanaingia kwa four wheelsWakuu
Hizi ni juhudi za mama
Kuiokoa SERIKALI yake
Namna pekee ni kuwabembeleza CHADEMA washiriki uchaguzi 2025!
Ngoja Tuone!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wa uchaguzi CCM hawanaga urafiki, wanaingia kwa four wheelsWakuu
Hizi ni juhudi za mama
Kuiokoa SERIKALI yake
Namna pekee ni kuwabembeleza CHADEMA washiriki uchaguzi 2025!
Ngoja Tuone!!
Rais SSH ni mpango wa Mungu. Hakika baada ya yule Shetani wa Chato ambaye alikuwa anatugawa kiitikadi na kikabila, akiua na kutudanganya, tumepata kiongozi mwenye upendo, mcha Mungu na anayeipenda nchi yetu kwa dhati. Tanzania Iko salama sana mikononi mwa Samia.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 20 Mei 2022 ameongoza kikao cha majadiliano ya pamoja kati ya ujumbe wa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Baadhi ya Viongozi wa CHADEMA waliohudhuria Kikao hicho ni Mwenyekiti Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti Zanzibar Saidi Issa Mohamed, Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika pamoja na Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu na Sekretarieti ya Chama hicho.
View attachment 2232223
View attachment 2232225
View attachment 2232217
View attachment 2232218
CCM ya kina makonda na Musica inaona huu ni kama uchafu..CCM gani inakaa na wapinzani...fagia woote dadadeq.Wakuu
Hizi ni juhudi za mama
Kuiokoa SERIKALI yake
Namna pekee ni kuwabembeleza CHADEMA washiriki uchaguzi 2025!
Ngoja Tuone!!
Wanasiasa wote lao moja, labda kama hujui tu.....CCM ya kina makonda na Musica inaona huu ni kama uchafu..CCM gani inakaa na wapinzani...fagia woote dadadeq.
Mama ana mapambamo makubwa sana ndani ya chama chake.
Njia pekee ni kuwa na waoinzani....I also see the only way.
CCM ina makundi mabaya na maovu.
Mbowe awe makini, CCM sio wa kuamini kuwa wanaweza kuweka mazingira yatayoruhusu wao kuachia dola kwa amani.
denooJ kwani unataka mwisho wa siku afanyeje? Aache kukutana na Rais?Tangu Mbowe aanze kwenda huko hakuna hata jambo moja lililowahi kufanyiwa kazi na serikali, sijui ugumu wa Samia kufanya hivyo unatoka wapi, na sijui uvumilivu wa Mbowe utaendelea mpaka lini, naona utani unazidi.
- Lissu bado hajarudi nchini, hii inawezekana bado hajahakikishiwa usalama wake.
- Mikutano ya vyama vya siasa bado haijaruhusiwa japo ni takwa la kisheria.
- Wale wahujumu uchumi 19 bado wanakumbatiwa na Spika kule bungeni kinyume cha sheria.
Hivi Chadema wote mna ukosefu wa afya ya akili? Reconciliation on what? Kuna nn kilitokea hadi mtake reconciliation? Hivi mna mdekea nani? Mmeshindwa uchaguzi, kila mahali CCM inawapiga vibaya, mnataka reconciliation kwa lipi? Alafu acheni ujinga, nendeni mkafanye kwanza hiyo reconciliation kwenye Chama chenu ambapo Mwenyekiti dictator hatoki ni yeye tu, yaani mkajadiliane wenyewe huko, mtatue matatizo yenu huko.To open up a new chapter as a nation haijawahi kuwa dhambi...
Hili kama ni kweli bac ni jambo jema kwa kila mwenye pumzi..
Narudia tena Political reconciliation ndiyo njia pekee ya kujenga taifa imara kiuchumi kisiasa na kiutamaduni.
Nchi haiwezi kujengwa na mawazo ya upande mmoja.
Chadema mkae macho sana na hawa watu, wanazitaka sana hizi picha za pamoja kwaajili ya kuwarubuni wafadhili, wakati hali halisi uwandani haiko hivyo na matendo yao yamejaa uhuni huni tu. Kama wananchi tunataka baada ya vikao vyenu mnatoka na statement ya pamoja kwa wwatanzania na siyo hizo picha zenu. Pia statement inayotolewa ifanane na matendo yatakayofuata baada ya kikao. Kama vipi achaneni nao hao Ccm nanyi mrudi kwa wananchi kwani walishawaelewa longtime.Wakuu,
Muda huu M/Kiti wa CHADEMA na viongozi waandamizi 9 wa chama hicho wapo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Tutarajie jambo gani jipya? Ndo ukurasa mpya wa Siasa za Tanzania?
UPDATE:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja na Viongozi Wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 20 Mei, 2022.
Baadhi ya Viongozi wa CHADEMA waliohudhuria Kikao hicho ni Mwenyekiti Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti Zanzibar Saidi Issa Mohamed, Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika pamoja na Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu na Sekretarieti ya Chama hicho.
View attachment 2232248View attachment 2232250
View attachment 2232257View attachment 2232258View attachment 2232259
View attachment 2232260
Angekuwa Zitto na ACT yake angeitwa msalitiWakuu,

Wanalambishwa asali, hao wote ni wafanyabiashara wa siasa.Wanafuata nini ikulu kila mara kama sio kupotezeana muda?
Wanaridhiana kitu gani?...matokeo ya uchaguzi wa 2020 au Lile zuio la kufanya mikutano ya hadhara ? zitto juniorNarudia tena Political reconciliation ndiyo njia pekee ya kujenga taifa imara kiuchumi kisiasa na kiutamaduni.
Hiyo kitu kwa sasa msahau kwanza mama ameshawaweka sawa kina mbowe hautakaa usikie kelele za katiba tenaNgoja kwanza tusikie kuhusu Katiba Mpya