Freeman Mbowe: "Mtu anaweza tu akashangiliwa kwenye majukwaa akapigiwa kura, lakini hakuna meritocracy (uwezo)". Je, dawa mujarabu ni ipi?

Uko sawa kwa hyo wewe umebaki na nguvu wapo?

Muulize Sirro ndo anajua CHADEMA ipo na Mama Samia watakwambia.

Au waambie watangaze Mikutano ya Hadhara wameruhusu kutengua katazo lao
Lililo kinyume na Katiba

Ndipo utajua CHADEMA ipo Hai
 
Rais Samia amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.
Rais Samia ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Samia ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.
 
Chama chini ya Rais Samia kipo busy kujenga Nchi ila vyama vingine vinashindana kuhutubia Facebook.
 
Tunapenda Rais Samia asipate changamoto kubwa katika kupambana na CHADEMA pamoja na wanasiasa wengine uchwara
 
Uko sawa kwa hyo wewe umebaki na nguvu wapo?

Muulize Sirro ndo anajua CHADEMA ipo na Mama Samia watakwambia.

Au waambie watangaze Mikutano ya Hadhara wameruhusu kutengua katazo lao
Lililo kinyume na Katiba

Ndipo utajua CHADEMA ipo Hai
Hivi unajua kuwa samia ni Rais bora africa kwa sasa?
 
Back
Top Bottom