K Mwita
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 356
- 314
Ufipaaaaaa habari yenu kwisha kabisaWeww utakuwa umerogwa sio kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufipaaaaaa habari yenu kwisha kabisaWeww utakuwa umerogwa sio kawaida
CHADEMA wamebaki na nguvu Twitter CHADEMA wamekuwa kama Kiba wanaomchukia DiamondMwenyekiti gani mwizi tu yule
Ninaishi USA. Nasikia CCM ilichukua majimbo yote katika uchaguzi wa mwaka jana 2020. Ni kweli?Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema w.a.mek.u.wa kama Kiba wanaomchukia Diamond
2025 tutawashawishi wananchi wampe Samia ushindi wa 90% Ushindi huu ni wa asante kwa kazi kubwa aliyoifanya.Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema w.a.mek.u.wa kama Kiba wanaomchukia Diamond
Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025. samia mama lao.Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema w.a.mek.u.wa kama Kiba wanaomchukia Diamond
Kwa utendaji wa RAIS Samia Sisi kama watanzania tulipaswa kumuacha achape kazi, watanzania ,Afrika ,Dunia inajua Rais Samia atashinda mafisadi.Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025. samia mama lao.
Rais Samia amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.Kwa utendaji wa RAIS Samia Sisi kama watanzania tulipaswa kumuacha achape kazi, watanzania ,Afrika ,Dunia inajua Rais Samia atashinda mafisadi.
Rais Samia ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Samia ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.Rais Samia amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.
Chama chini ya Rais Samia kipo busy kujenga Nchi ila vyama vingine vinashindana kuhutubia Facebook.Rais Samia ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Samia ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.
Tunapenda Rais Samia asipate changamoto kubwa katika kupambana na CHADEMA pamoja na wanasiasa wengine uchwaraChama chini ya Rais Samia kipo busy kujenga Nchi ila vyama vingine vinashindana kuhutubia Facebook.
Hivi unajua kuwa samia ni Rais bora africa kwa sasa?Uko sawa kwa hyo wewe umebaki na nguvu wapo?
Muulize Sirro ndo anajua CHADEMA ipo na Mama Samia watakwambia.
Au waambie watangaze Mikutano ya Hadhara wameruhusu kutengua katazo lao
Lililo kinyume na Katiba
Ndipo utajua CHADEMA ipo Hai
Mmeanza wehu wenu kazi gan kwa sasa hivi alioionyesha??2025 tutawashawishi wananchi wampe Samia ushindi wa 90% Ushindi huu ni wa asante kwa kazi kubwa aliyoifanya.
Mmeanza ubora wake ni upi??Hivi unajua kuwa samia ni Rais bora africa kwa sasa?
Kama haumpendi Samia meza chupa unyweMmeanza ubora wake ni upi??
Mmeanza kuweweseka mioyo yenu
Samia anatutea Waafrica dhidi ya uonevu wa mabeberuKama haumpendi Samia meza chupa unywe
Mafisadi wana hofu ya kushindwa na Samia. Wanajua Samia lazima awashughulikie ndio maana hawataki wapambane nayeSamia anatutea Waafrica dhidi ya uonevu wa mabeberu
kuna watu wachache wanamtukana Rais Samia Dawa yao inachemka. Tutahakikisha wanalia na kusaga menoMafisadi wana hofu ya kushindwa na Samia. Wanajua Samia lazima awashughulikie ndio maana hawataki wapambane naye
Mmeanza vitisho tena[emoji849]kuna watu wachache wanamtukana Rais Samia Dawa yao inachemka. Tutahakikisha wanalia na kusaga meno
Kwanini unamtukana Rais wa nchi?Mmeanza vitisho tena[emoji849]