Bosi wa Miji yote Tz
Member
- May 12, 2021
- 36
- 23
Kwanza nan mtuhumiwa kwa sasaKwanini unamtukana Rais wa nchi?
Yenyewe so fresh ni kuonyana kwa mapendo tu sio kuprlekana korokoroni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza nan mtuhumiwa kwa sasaKwanini unamtukana Rais wa nchi?
Sasa hivi tu nitajua baadae kam miaka 3Hivi unajua kuwa samia ni Rais bora africa kwa sasa?
Vijana kama sisi ndio wazalendo Tumpe muda Rais Samia afanye mambo makubwakuna watu wachache wanamtukana Rais Samia Dawa yao inachemka. Tutahakikisha wanalia na kusaga meno
Rais Samia anafanya mambo makubwa sana huyu mama. CCM oooyeeeeeVijana kama sisi ndio wazalendo Tumpe muda Rais Samia afanye mambo makubwa
Nimeona na daraja letu la kigamboni,hongera SamiaRais Samia anafanya mambo makubwa sana huyu mama. CCM oooyeeeee
Sawa mkuu, hii pia ni nzuri.Tuanze na mdahalo wa wagombea. Iwe ni lazima kwa wagombea,hasa kiti cha Rais kufanya midahalo,angala 2 wakati wa kampeni.....iwepo kipengele kwenye sheria ya uchaguz i
Rais Samia amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sanaNimeona na daraja letu la kigamboni,hongera Samia
Rais Samia amefanya maamuzi sahihi sana kukutana na bilionea dangoteRais Samia amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sana
Rais Samia ni mtu mwema na yupo makini sanaRais Samia amefanya maamuzi sahihi sana kukutana na bilionea dangote
Rais wetu mama Samia wewe ndiye tunayekutegemea kutufikisha nchi ya ahadiRais Samia ni mtu mwema na yupo makini sana
Rais Samia anafaa aongezewe muda mpaka 2030 kwa maana anafanya mambo makubwa sanaRais wetu mama Samia wewe ndiye tunayekutegemea kutufikisha nchi ya ahadi
Kama Mzee wa Chadema anamkubali Rais Samia kijana wa Ufipa anabwabwaja ili iweje?Rais Samia anafaa aongezewe muda mpaka 2030 kwa maana anafanya mambo makubwa sana
Mbowe na Mnyika wana hofu ya kushindwa na Samia Wanajua Samia lazima ashinde wezi na mafisadi woteKama Mzee wa Chadema anamkubali Rais Samia kijana wa Ufipa anabwabwaja ili iweje?
Kufikia October Rais Samia na JPM walifikia 98% ya ushindi wao hata kabla ya upigaji wa kura kuanzaRais Samia anafaa aongezewe muda mpaka 2030 kwa maana anafanya mambo makubwa sana
Mbona Rais Samia anatoa elimu bure ? Waambieni Chadema kazi yao ni kununua sare tu ada wanalipiwa na SamiaKufikia October Rais Samia na JPM walifikia 98% ya ushindi wao hata kabla ya upigaji wa kura kuanza
Tunamsubiri Malikia wa Uingereza naye aje kumsalimia Rais Samia na WatanzaniaMbona Rais Samia anatoa elimu bure ? Waambieni Chadema kazi yao ni kununua sare tu ada wanalipiwa na Samia