Freeman Mbowe: "Mtu anaweza tu akashangiliwa kwenye majukwaa akapigiwa kura, lakini hakuna meritocracy (uwezo)". Je, dawa mujarabu ni ipi?

Uenyekiti wake pia ni cheo cha kisiasa kilichopatikana kwa kupigiwa kura so kama kuna njia mpya na sahihi ya kupata viongozi wa kisiasa aitambulishe kwanza pale Ufipa. Ayaishi maneno yake
 
Tuanze na mdahalo wa wagombea. Iwe ni lazima kwa wagombea,hasa kiti cha Rais kufanya midahalo,angala 2 wakati wa kampeni.....iwepo kipengele kwenye sheria ya uchaguz i
 
Sawa mkuu, hii pia ni nzuri.
 
Back
Top Bottom