Freeman Mbowe ndiye mpigania haki maarufu zaidi barani Afrika kwa sasa

Meko alijitaidi kumpoteza akapotea yye na huyu wa saizi itakuwa hivyo hivyo
Alitumia vyombo vya dola kublocl kila biashara yake kwa jasho na damu na bado alishindwa mwisho wa Siku Mbowe akawa mshindi.

Hata Mama atashindwa tu
 
Mbowe ni tajiri, anatakiwa aachane na siasa aenjoy utajiri wake

watanzania wengi ni mambumbuuu kuwapiginia haki zao wenyewe ni kujitesa tuu.

Wameshazoea kupelekeshwa kama mang'ombe.
Mbowe anaongozwa na Dhamiri. Ni Matajiri wachache sana wanaungana na maskini kupambania haki. Matajri wengi wanaangalia maslahi yao yanavyokwenda mebgine usiwaulize hata mkafa nyote yeye hajali.

Hii kitu kwa Mbowe kinatufundiaha uzalendo uliotukuka.

He is a bilionare everynone knows
 
 
Hakuna cha siasa za kimalaya wala nini. Hilo ligaidi lenu litaendelea kusota tu.
Hakuna aliye kuwa na roho kama ya MekoYa kwako Kwa sasa ni roho mbaya kupita ya Meko.Huenda kilicho muondoa duniani ilikuwa ni hiyo roho ya LAANA kama yako.Mungu aonaye sirini na ukulipe sawa sawa na mapenzi yake.Ukapate unacho sitahiri wewe na familia yako ili upate kusimulia.CCM ni chama tu kitapita ,serikali inayo kulipa hela itapita lakini roho ipo siku itadaiwa unayo yafanya kisa vipande vya fedha unavyo lipwa .Narudia tena acha kuvuna LAANA juu ya watoto wako na familia yako.Acha kula hela ya damu
 
Meko alikuwa Mafia kuliko Mtu yeyote hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…