Freeman Mbowe: Nimetolewa gerezani kwasababu nguvu ya umma ilikuwa imezidi nguvu ya vyombo vyao vya dola

Freeman Mbowe: Nimetolewa gerezani kwasababu nguvu ya umma ilikuwa imezidi nguvu ya vyombo vyao vya dola

Ndugu, kwani wewe uko mtaa gani?

IMG_20220304_154503_924.jpg
 
Halafu futa hii kaulia ya kusema mwenyekiti wetu,ww na nan labda?

"Ni siku moja tu baada ya kutoka Magereza pale Ukonga, Mwenyekiti wetu wa CDM Taifa kufutiwa mashitaka ya Ugaidi,jana amenukuliwa na vyombo vya HABARI hasa mtandao wa Mwanahalisi online akisema haya."
 
Mbowe aliitwa ikulu ili aambiwe ukweli juu ya kesi iliyokuwa inamkabili kwamba rais SSH alidang'anywa na wale walimpa taarifa potofu dawa yao inachemka.
 
Wanafanya kweli makosa ila wanatumia mwamvuli wa kisiasa kupata huruma kama hivi.

We chukulia mfano tu wa kesi hii ya Mbowe angekua mwananchi wa kawaida.

Kuna ambaye angeliga kelele asamehewe??

Au baada ya kusamehewa aitwe ikulu??

Hawa wanasiasa wanajua kucheza tu na akili za wafuasi wao ila kimsingi sio watu safi sana kama tunavyofikiri.
Naona umeumia sana Mbowe kutoka Jela,kunywa sumu upumzike.
 
Usiwafsnanishe wengine na zile b7 za mtaa wakijani Tena ukome walarushua nyie, Tena mnatafuna makusanyo ya mlalahoi⛹️
Vipi ile ID yako ya mmawia umeachana nayo au unatumia zote mbili ulipwe huku na huku?
 
Vipi ile ID yako ya mmawia umeachana nayo au unatumia zote mbili ulipwe huku na huku?

Mbowe si system? Mnahangaika hivi kwa nini basi?

Si acheni watu walipwe hata ID kumi kumpigia debe si itakuwa faida yenu wana sasa?

Au faida nyie hamtaki?
 
Imebuma mjomba hiyo:

Mbowe: Nimemwambia Rais Samia MAMBO MAZITO SANA, vijana wetu wana mihemko, nina deni sijui nitalipaje

Bila source ulichoandika ni porojo zenu za kila siku kama za nduguyo tu hapa:

Freeman Mbowe, kada mtiifu wa CCM aliyepewa uenyekiti CHADEMA

Kama ni kada wenu kulikoni kumsakama hivi?

Kwa kutuona je vile?

Cc: denooJ
Hizi thread zisizo na source wanazitengeneza hawa wajinga kwa lengo la kuwadanganya wasiojua kufikiria wenye mihemko kama yao.

Hapa ndipo unapoona namna Mbowe anavyowaendesha, sasa wamebaki kuhangaika kama watoto.
 
Sasa wale wanaomshukuru mama je? Si kwamba yeye ndiyo kakutoa?
Ngabu, huwa nakuchukulia kama mtu mwenye uelewa mkubwa sana humu Jf.
Na hapa ningependa kwanza watu wajue neno umma maana yake hasa ni nini.
Baada ya hapo wanaweza kukubaliana au kutokubaliana na Mbowe.
Hisia za watu wengi ni kuwa Mbowe hakuwa na hatia na kupitia ushahidi haikuweza kuthibitishwa bila kutia shaka.
Samia aligundua hilo akasimama na umma. Watu wangemnyooshea Mbowe kidole cha shutuma kwamba ana hatia Samia asingefanya hayo. Hiyo ndiyo nguvu ya umma na hivyo Mbowe yuko sahihi kumbuka wingi wa watu kumtembelea gerezani. Mbowe yuko sahihi, natoa amri!
 
Kuwapa heshima chadema ukitegemea kupata heshima in return ni kujilisha upepo. Chadema kinafanya siasa kiuanaharakati, na sote tunajua uanaharakati ulivyo!
 
Ikulu aliitwa na alikwenda kufanya maongezi na siyo kushukuru. Wewe unadhani aliomba yeye kwenda?
Umempa jibu zuri Sana

Huyu mama alipandwa na pressure hadi ikambidi amwite siku ile ile Mbowe aliyotoka jela.

Sababu Kuu ya kumwita siku hiyo hiyo, ilikuwa "kumpooza" Mwamba, kutokana na mateso makubwa aliyopata, ya kuswekwa ndani na Policcm, na mashataka yao ya kubambika🙄
 
Back
Top Bottom