Amri za marehemu ni zipi?Magufuli kafa kwa watanzania wengine, kwa CCM hamuamini kama kafa na mnamshinikiza Samia aendeshe nchi kwa kufuata amri za marehemu.
Magufuli atawatesa hadi mnaingia kaburini. Yani mpaka sasa hivi hamjui mshike wapiNyerere ndio anatakiwa kutukanwa humu
Yeye ndio aliinda katiba mbovu akijua kuwa tutakuja kupata dikteta kama mwendazake
Yani watu wanamsahau huyu mzee nyerere
Yani katika wapuuzi wewe ndiye kiongozi wao nahisi hata mama yako akisoma uzi wako atalaani siku aliyekuzaaMbowe analalamika kwamba Samia kwenye hotuba yake hajajitofautisha na Magufuli, mimi najiuliza Mbowe alitaka Samia afanye nini? Aseme mimi najitoa ccm nahamia chadema au?....
Samia ni ccm, ataendesha nchi kwa mifumo ya ccm kama ilivyo desturi yao.Mkuu maoni yako binafsi ni yapi kabla ya kuuliza ya mbowe?
Kajitesa yeye watu kawaacha na nchi kaiacha kenge weweMagufuli atawatesa hadi mnaingia kaburini. Yani mpaka sasa hivi hamjui mshike wapi
Kwani asingeyasema hayo Mama yetu jamani angepungukiwa nini? Kauli zake kwa kweli zinakinzana na malengo / maono yake —hazijengi upya nchi iliyotoka kwenye dhoruba kali miaka mitano iliyopita (mfano kuvutia hao wawekezaji na kadhalika); sana sana ni kutia watu hofu tu kuwa nchi haina jipya lolote. Naona kama na yeye anapenda kupigiwa makofi makofi.!
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mpaka sasa hivi mnapigania kipi?Naona umekimbia kulinda kaburi la dhalimu saa hii unatapika tu uzalendo uchwara hapa. Nilitarajia utaomba kuzikwa kaburi moja na yule ibilisi, kumbe umeacha aende mwenyewe.
Hata akikutana anataka wajadili jinsi ya kufanya siasa zenye tija kwa nchi.Mbowe ameshangaza sana!
Imekupenya au siyo?Yani katika wapuuzi wewe ndiye kiongozi wao nahisi hata mama yako akisoma uzi wako atalaani siku aliyekuzaa
Mbowe amewahi Sana kuhukumuWakikutana kwa hekima ya mama najua atanyamaza labda kofia ya chama imwendeshe mama
Dj hajielewiSasa Mbowe analalamikia nini?
Yatima hadekiMagufuli atawatesa hadi mnaingia kaburini. Yani mpaka sasa hivi hamjui mshike wapi
Mbona Dj mbowe analalamika sasa?Kauli za maza ni kinyume na matendo, ni kama marehemu dikiteta magufuli alipenda kusema maendeleo hayana vyama lkn akipita majimbo ya kina bwege na wapinzani wengine, anatukana na kufokea wananchi kuwa hawezi kuwaletea maendeleo Sababu walikosea kuchagua.
Anaeteseka mbona ni wewe mkuu?Yatima hadeki
Acha ujinga
Get over it
Ameshakufa
Tuvumilie kwanza, tukumbuke kwamba ccm ni ile ile, SSH ni wale wale, Kwa hiyo akiongea pale lazima azungumze lugha yao, hata kama ana nia njema ya kuboresha demokrasia! Au tuseme tu ukweli, Mazaa anaweza Vipi fasta fasta aseme, “mwendazake alikua deshi deshi, sipo naye tena, nipo na wapinzani!” Hata Sisi Tutashangaa!Sasa pamoja na unyama ule uliotendwa kulikuwa na haja gani ya mama kujitangaza kwamba yeye ni sehemu ya unyama ule , hawa watu walipofikia kwenye nchi hii haiwezekani tena kuwabembeleza , tuzungumze bila kumung'unya maneno
Mbowe analalamika kwamba Samia kwenye hotuba yake hajajitofautisha na Magufuli, mimi najiuliza Mbowe alitaka Samia afanye nini? Aseme mimi najitoa ccm nahamia chadema au?...
Hata mimi nilitarajia Mbowe amsome Mama katikati ya mistari, aone mkakati unaochezwa, asiwe na papara ya kuchapisha maoni hadi wapinzani watakapopata fursa ya kukutana ana kwa ana na Rais...Mbowe anatakiwa kuuma na kupuliza.
..kwa maoni haya naona kama ameuma bila kupuliza...
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mpaka sasa hivi mnapigania kipi?
Naona mnashangilia sana kufa kwa Magufuli, vipi na ccm na mifumo yake nayo imekufa?
Msipojielewa mtatepeta sana tu