Freeman Mbowe: Rais Samia Suluhu anateswa na kivuli cha Magufuli

Aibu bado ni kwenu tu, wajinga mnataka Mbowe na CHADEMA, wademkie ngoma yenu?! Nyie imbeni sifa na kuabudu huko, ni haki yenu kama ilivyo haki ya Mbowe kukosoa!
 
Afe dhalimu tusishangilie kivipi? Ulitaka tupiganie kipi?
Mkuu! Sasa hivi Mambo ni burdani! Yani ccm mbele kwa mbele,

Mbaya Magufuli kafa, na sasa tujiandae kushika urais 2025
 
Mama anataka apewe uenyekiti
Simuoni kutawala kama jiwe
 
SUALA SIO MBOWE AU CCM..hapa kuna nchi yetu wote tunataka iwe na amani na ustawi wa wote..Tunakataaa watu kunyanyaswa kuteswa na kusumbuliwa...Tunakataa watu kuzushiwa na kuundiwa mikesi ya uongo...Tunakataa umwinyi na kujiona kana kwamba ww sio mwanadamu ili hali uja cheo tu na bila cheo wewe ni mtu na unaishi kwa muda flani kama wengine kadri Mungu atakubarikia.
 
Hivi tatizo ni JPM au Ccm?
 
Mbowe lazima akaze! Kwani kukitangazwa kutakuwepo mechi na ni ya kirafiki, ndo timu ilale! Mbowe is playing, kama Mazaa alivyo play! Angepongeza mataga wa humu wangeanza, ohoo kamiss chai ya ikulu! Na pia Mazaa lazima wampige pini afanye maamuzi magumu, Kwanini wamlegezee kwa mfano!
 
Huyu naye hovyo kabisa! Ulitaka mama atekeleze ilani ya mtaa wa ufipa😜!
V
 
Sasa Mkuu ikiwa Mama anasema anafuata nyayo za Magufuli aliyekimbiza wawekezaji lakini wakati huohuo anataka kurudisha imani ya wawekezaje wewe unaelewa nini ?

Mkuu wewe kweli huwezi kuelewa “lugha” ya wanasiasa wanaposhughulikia suala lenye mkanganyiko?

Basi ungeanza kumkana kabisa SSH kuwa hastahili kuwa Rais kwa vile alikuwa mshirika wa JPM wakati maovu yakifanyika.
 
Hivi tatizo ni JPM au Ccm?
Tatizo la ccm ni la muda mrefu, Lakini kwa miaka 6 limejengwa tatizo jipya la ccm mpya! Tatizo la ccm mpya, linataka kazi nzito kwa hii miaka minne, ambayo Mazaa anasema mitano! Tukicheza fresh kwa hii miaka, tutajiweka kwenye nafasi nzuri ya kukabiliana na tatizo kongwe la ccm!
 
Hii syo taarufa ya mbowe, mbowe ana busara kuliko viongozi woooote wa vyama vya siasa
 
Syo mbowe, huwa mbowe hana tabia ya kujibu mtandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…