Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

January 2020 bado siku 11 tu, sijui Magufuli atasemaje kubusu Upinzani, katumia pesa za wananchi kuwanunua akashindwa, katumia ile mbinu nyingine ya kumtanguliza mtu mbele ya haki akidhani wote wataogopa akafeli
 
Hawa viongozi wanaenda kubomoa chadema na chadema inaenda kuwafia mikononi mwao mark my words
Unadhani Jiwe ataiponya ccm. Unafikiri huku wanakomsujudia vinatoka rohoni, take my words! People are not contented!
 
January 2020 bado siku 11 tu, sijui Magufuli atasemaje kubusu Upinzani, katumia pesa za wananchi kuwanunua akashindwa, katumia ile mbinu nyingine ya kumtanguliza mtu mbele ya haki akidhani wote wataogopa akafeli
Jipeni moyo na migwanda yenu CCM hao wanapasha tu,ruzuku italipwa na watakula hao wanahubiri utajiri ushindi CCM kwa kishindo tupo hapa.
 
Kwa sasa kitu pekee ambacho CCM inaweza kushinda ni kushinda njaa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why Dodoma? Kuna ulazima gani makao makuu ya Chama kuwa huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jipeni moyo na migwanda yenu ccm hao wanapasha tu,ruzuku italipwa na watakula hao wanahubiri utajiri ushindi ccm kwa kishindo tupo hapa.
Ccm mlikula EPA na ESCROW na DEEP GREEN, IMPORT SUPPORT, msidhani hatujui
 
Uchaguzi haukuwa huru na haki. Hata boksi la kura lenyewe lina mtundu matundu,
Ha haha! Sikuliona hilo mapema, ngoja tumpatie hoja hiyo Polepole aipeleke kwenye Kamati kuu yetu tuone jinsi ya kumshawishi Msajili alione hili. Yale matundu yanaweza kupenyezwa karatasi za wizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtei ndiye mpiga kura wa kura zote 800+?kama mambo madogo hivi unashindwa kuchanganua tukifika kwenye mambo mtambuka kuhusu nchi utaweza kuchanganua?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umetangaziwa matokeo hayo ukayakubali yote, hilo ni jambo zuri sana kwani huko mbeleni utapotangaziwa kuwa CCM imeshinda ni lazima ukubali matokeo uache kulalamika kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki.
 
Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho kwa miaka kumi na tano ...

Putting records clear, amekiongoza kwa miaka 20 mpaka sasa.

Anaenda term itakayomfikisha kwenye 25 kama Mungu alimpa uzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…