Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Wewe ndo mtetezi wa wanyonge?! Toa Wewe ushahidi, kwamba Mbowe hajaibiwa! Suala la kuzaa nini? Kwani mama ake Kabendera hakuzaa? Au wazazi wa saa8 hawakuzaa?! Kwa hiyo kwamba Mtu ana umri wa kutuzaa tupotezee ukatili wake?!
 
Na wewe ni chadema au unawaongelea ?
 
Kakika Magufuli atabaki kuwa shujaa, haya yalitokea 2018 laikini yanasemwa leo baada ya kuwa marehemu.

Magufuli utabaki kuwa mwamba wa Africa.
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Hujui hiyo familia vizuri mkuu.
 
Magufuli hakuwa Binadamu, alikuwa ni Shetani mwenye umbile la Binadamu, yaani ni Lucifa aliyekuja kuitawala Tanzania,halafu kuna majibwa humu yaona alikuwa mtu, yaani katili huyu katesa sana Watu.
Ila Mungu alisikia maombi na vilio vya wengi ambao sauti zao zilizimwa Mungu amefanya kutukomboa
 
Ndugai ana UKIMWI na KISUKARI kwa hiyo hata Ubongo wake umeshabomoka,Eti yalikuwa yanajadili kumwongezea muda Magufuli,kiko wapi? MUNGU mkubwa sana
Mbona wewe mwenyewe pamoja na mama yako mna Ukimwi lakini bado unaendelea kufumuliwa marinda.

Nyambafu .
 
Kama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..

Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..

Waendelee tu kuongea...........
Onyesha sheria ipi aliyokiuka
 
Magufuli hakuwa Binadamu, alikuwa ni Shetani mwenye umbile la Binadamu, yaani ni Lucifa aliyekuja kuitawala Tanzania,halafu kuna majibwa humu yaona alikuwa mtu, yaani katili huyu katesa sana Watu.
Duu Mungu wangu,,Magu alifanya haya...
 
Kama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..

Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..

Waendelee tu kuongea...........
Jiwe limekufa, sasa na liseme.
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?

Unadhani ana akaunti hapa tu kama VICOBA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…