Kila mtu na dozi yake kulingana na kiwango cha maambukizi. Kama mnajiamini ombeni ya kirafiki hata kesho.!Upoooo nilikuwa namuangalia doumbia hapa naona leo simba kacheza na mgonjwa kitandani...anajipigia tuu
Kulikuwa na haja gani ya kukitaja kitumbua?Kitumbua kimeingia mchanga.
Yaani goli moja limeyazima yale yote sita. π
Pole sanaWamepiga bomb mochwari
FT Over 2.5, naangalia mechi, mdosi analipia Bia
Kumbe De Agosto ndio walikua uwanja wa nyumbani, tena mbele ya mashabiki wao!?Kitumbua kimeingia mchanga.
Yaani goli moja limeyazima yale yote sita. π
Akae kwenye position kama Bocco na Kagere, sio kumangamanga. Receiving yake pia mbovuDoumbia ni complete striker. Namfananisha na Harry Kane ingawa Doumbia ni fundi na ana jicho la kufunga.
Nilikwambia ukakae sebuleni uangalie pira sambusaπ€£Mjue mi hizi taarifa nazipatia hapa hapa. Kumbe yashafika matano. π
π€£π€£π€£Simba kwa sasa imejipata. Yaani ukikutana nayo unatamani kujinyea, hata timu za Arabuni hawaombei kukutana na hii Simba. Jangwani wanajiharishia tu wakiiona hii Simba.
BTW: Nauza pampas bei nafuu
πππππTooba.
Mighty Wonderer 6.Might Wanderers 6 ...
Fc 15 De agosto 6....
Simba kwani mna mpango gani huu mwaka?
Nimechukulia poa tu mtaniMtani kama nakuona ulivyokasirika baada ya kuingia hilo goli moja. ππ
Mbona kila usiku tunapachika magoli kadhaa,Wanaume mnaoshangilia magoli ya mpira, mngekua na nyie mnafunga kama hayo ndani ya ndoa zenu kusingekua na shida..!!
Ingiza timu kuthibitisha ubora wa mnyamaLeo simba kakutana na kibonde..π¦
Mwasibu haya maisha yenyewe ni mafupi sana. Wacha tufurahiUnachekesha wewe jamaa
Hili ni goli la nyumbani. Mechi ya ugenini tunaenda kupindua meza kibabe.la ugenini au la nyumbani? π