Ila kipigo kimewachanganya sana. Yani nashangaa unavyo wakana SIMBA wenzako na kujifanya MwanaYANGA.Current issues huwa zinanoga sana tunapopitia mafaili ya zama za kale.
Hilo suala la kulipa deni hatuwezi kulikwepa, dawa ya deni ni kulipa.
Tujitahidi tu next match tulipe deni.
Hizo tambo za kuwapiga 5-1 hazitatufanya tufutiwe deni la kupigwa 6-0.
Acha tujaribu mwaka huu tulipe deni.
#daimambelenyumamwiko.
Una umizwa na mafanikio ya YANGA tu.Watu wanatunisha vifua kwa kumfunga CRB ila hawajui Algeria hawajawahi kutawala mpira wa Afrika katika ngazi ya vilabu. Mwaka jana USMA ilikuwa klabu ya kwanza kutoka Algeria kuchukua kombe lolote la Africa.
Nadhani viongozi wenu wamelitambua hilo ndiyo maana wameanza kuwaambia punguzeni matarajio.
Siyo kweli. Najua sasa hivi mutalazimisha undugu na sisi hatutaki.MO na GSM ni pipa na mfuniko.
Watabishi sana ila Mipango ikienda vyema tunachukua kombe.Yanga anakwenda kuweka historia ya kuongoza kundi na kuwa timu ya kwanza kutoka Tanzania kubeba ubingwa wa CAF champions league.
Kuingia kwa Yanga robo fainali kunaipaisha Simba katika rank za CAF na FIFA.Una umizwa na mafanikio ya YANGA tu.
Kichaka chenu cha ROBOFAINALI tumekifyeka.
Na kwa sababu ya ujinga wenu mtaendelea kuamini kwamba hiyo timu ni mali ya wananchi akina pangu pakavu tia mchuzi 😂😂Siyo kweli. Najua sasa hivi mutalazimisha undugu na sisi hatutaki.
Amka bloo, utajikojolea kitandaniWatabishi sana ila Mipango ikienda vyema tunachukua kombe.
Deni ni kitu kibaya sana, tulipe tu deni ili tuwe huru, bado hatujalipa deni la 6-0, tujitahidi mwaka huu tulipe.Ila kipigo kimewachanganya sana. Yani nashangaa unavyo wakana SIMBA wenzako na kujifanya MwanaYANGA.
Kwa hiyo umewahama SIMBA baada ya vipigo toka kwa YANG?
Nakuuliza umewahama SIMBA?Deni ni kitu kibaya sana, tulipe tu deni ili tuwe huru, bado hatujalipa deni la 6-0, tujitahidi mwaka huu tulipe.
Nakuelekeza namna ya kuishi kwa uhuru popote duniani. Kuishi bila madeni ni uhuru adimu, tulipe tu deni na tuwe huru kutamba asubuhi, mchana, jioni na hata usiku.Nakuuliza umewahama SIMBA?
Kwa hiyo hamjarizika na hizo 5-1? Munataka 6-0?Nakuelekeza namna ya kuishi kwa uhuru popote duniani. Kuishi bila madeni ni uhuru adimu, tulipe tu deni na tuwe huru kutamba asubuhi, mchana, jioni na hata usiku.
Dawa ya deni ni kulipa, hata comredi Nchemba anujua huo ukweli.Kwa hiyo hamjarizika na hizo 5-1? Munataka 6-0?
Basi maombi yenu tutayafanyia kazi.