SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Watu wanatunisha vifua kwa kumfunga CRB ila hawajui Algeria hawajawahi kutawala mpira wa Afrika katika ngazi ya vilabu. Mwaka jana USMA ilikuwa klabu ya kwanza kutoka Algeria kuchukua kombe lolote la Africa.
Nadhani viongozi wenu wamelitambua hilo ndiyo maana wameanza kuwaambia punguzeni matarajio.
Nadhani viongozi wenu wamelitambua hilo ndiyo maana wameanza kuwaambia punguzeni matarajio.