Plan ya kibu imefeli na sasa mzigo kaachiwa mpanzu
 
Yaan Simba wanacheza, ila kufunga hawawezi, sasa ndo nn? Wadevele hivyo wategemee kushinda huku nyumbani, baadae washangazwe.

Afu sasa wana kazi ya kushambulia, wanajisahau kuzuia, wakipigwa counter attack bas tunalia tena.
 
Kibu nae aache ubinafsi, hapa unatafutwa ushindi wa team, na muhimu kuwa hivyo, aaaah
 
Dah hii sasa too much africa....penalty jamani ata var hawataki
 
Nasemaje, wawe buzzy kushambulia afu wasahau kuzuia, tutalia tena sasa hivi, yaan inakeraa had Co poa, khaaah
 
Yaan Simba wanacheza, ila kufunga hawawezi, sasa ndo nn? Wadevele hivyo wategemee kushinda huku nyumbani, baadae washangazwe.

Afu sasa wana kazi ya kushambulia, wanajisahau kuzuia, wakipigwa counter attack bas tunalia tena.
Halafu Ateba anafocus kwenye penalty badala yakufunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…