Mpira uishe tu. Al masry sina imani nao. Hili goli moja angalau lidumu ili kuleta utulivu huku Tanzania.
 
Kibu ana nn jamani? Ana angukaje vile kizembe? Na ategemee refa atapiga filimbi, thubutuu.
Anakera mnoo 😢😢😢😢
 
Utegemee penalty kwa ardhi ya waarabu? Wala usitegemee hilo kamwee, ni bora wachezaji wapambane wapate la kawaida.
Ah uhuninhuu africa wangese sana jamani kha...wanasimba wamepambana hivi ata kwenda kuona hawataki. No this not fair
 
Kwa Al-Masri hii inayorukaruka kama maharagwe, halafu ije Kwa mkapa mbele ya mashabiki wa Simba na Kamati ya ufundi ya wazee na mbuzi, Al Masry wamekwisha.

Kwa Sasa tuzungumze nusu fainali ya Simba na Zamalek.
 
Waache kujipigia hovyo hii inakera sasa.
Ndugu mpira si rahisi kihivyo, hawachezi peke yao uwanjani. Jifunze kuappriciate jitihada za wenzako na si kuweka ego yako mbele.
 
Robo robo fc pumzi imekata. Oooh tutaenda nusu fainali. Nusu fainali my foot.
 
Ndio mnavyojidanganya Kila siku, timu ikiwa mbovu ipige uko uko umalize umeiona Orlando? Tatizo mpo na kocha mpuuzi tu,
 
Ah uhuninhuu africa wangese sana jamani kha...wanasimba wamepambana hivi ata kwenda kuona hawataki. No this not fair
Unawajua waarabu? Mbna game Itaharibika hapo, na Refa mwenyewe kashaonesha yuko upande upi,

Watafute bao la kawaida.
 
Pamoja na yote Hawa waarabu wakawaida sana, Simba wanapata Holi na kuongoza dar ni kwenda kukamilisha ratiba
 
Mimi ni Simba ila siwaelewi wanacheza kitu gani.
Al Masry nao hawajitambui wanataka nini kwenye hii game
Hovyo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…