Kama imekuumeni basi ichomoeni
 
Amin kwamba hawa mechi ya taifa ili kuwaondoa inabidi tumalize mechi kipindi cha kwanza ubaya sasa wachezaji wetu hawana maamuzi ya utulivu langoni ubinafsi na papara nyingi.
Hamna muunganiko kati ya Mpanzu,Ahoua na Ateba,kama Ateba hapati mipira kabisa,l.
Amin kwamba hawa mechi ya taifa ili kuwaondoa inabidi tumalize mechi kipindi cha kwanza ubaya sasa wachezaji wetu hawana maamuzi ya utulivu langoni ubinafsi na papara nyingi.
Mlima mrefu sana yaani hapo unatakiwa uwe very accurate kwenye kukaba na kushambulia.
 
Machezaji yetu yaani yanashindwa kushinikiza penati yetu halali kabisa. Yanashika viuno tu.Pumbavu kabisa
😂 😂 😂 Penati mnafikiri marefa wenu wa kibonho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…