Labda na yeye yupo kwenye payroll ya GSM! 😁

Sasa kama mnafungwa na timu dhaifu kama hii ya Al Masry! Si mkikutana na timu katili kama Yanga, si itawatandika goli 7! Au mtakimbia tena!
Kwa hawa kina Ahoua, Ateba na Ngoma, mpewe tu pwenti tatu zenu za mezani tukutane mwakani. Mambo yasiwe mengi.
 
Wee maqu nn, mxxxiiieew
Mimi ni Simba mwenzio ni kweli tumefungwa wala sijakasirika...

Sasa wewe mwaniwane makasiriko ya nini?

Nijuavyo mimi demu mwenye makasiriko na matukano huwa anashida ya kumiss djusharere yaani amelikosa dusherere kwa muda mrefu.....

Nimetumia hekima nikutafutie mtu wa kukuondolea upwiru hasira zako zikate faster...

Naomba upokee simu
 
Halafu pin pin aboreshe punch zake goli la pili golikipa mkubwa huwesi punch vile bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…