one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,330
Mbona mnyama kaacha pua kule Suez au mimi sina macho,nani kaona kama mimi.Mwakarobo ang'atwa pua.
Na badoJamani Simba acheni usengee qumamaqe, tunao umia ni sisi mashabiki, hivi kweli haya mnayo yafanya mnaona mazuri? Tunashindwa hata kuwasiliana na watu, hatujui kesho itakuaje huko makazini.
Yaan nilivyo na hasira hapa, kesho mtu aniletee usengee nalala nae mbelee. Maninaaa.
Mbwa wee.Na bado
Simba kwa kutuhumu wachezaji wao kuuza mechi wapo vizuri, kila mechi wakifungwa cha kwanza kumtafutia wa kumuangushia jumba bovu. Kwani Camara sio binadamu kiasi kwamba hafungiki wala hakosei?Kwa ufupi,
Camara kauza game kwa bahati mbaya au bet, Almasry Egypt sio team kubwa ni kama kina KMC kwetu tusikuze kama tumecheza na kina Ahly au Zamalek. Simba nyumbani uwezo wa kupindua anao inategemea wataanza vipi game ila wajue wale watakuja kukaa nyuma tu. Simba wakifanya papara wanaweza kuambulia kupiga mashuti tu. Kibu anaweza kuwafaa baadhi ya game lakini kama unatafuta magoal Kibu hawezi kukupa magoal hatulii wala hana maamuzi sahihi mipira ya mwisho. Tusiwakuze Almasry kama ni team kubwa ni team ya kawaida league ya Egypt kikwetukwetu KMC, Coastal sijui Dodoma jiji hivi.
Hivi una amini Simba atafanya maajabu Lupaso? Kibu na ateba ndo ma 4wadi? Yaan nimechoka kabisa.Pole saana Eng....
Hope Simba watatumia uwanja wanyumbani vema
Wee Komwe acha uwaki, wa kiume wee ujue.Nipo nawewe mpaka ukome...😂
Mbwaa wee.Mlifikiri na kule ni bongo mnajiangusha tu kama magunia ya mchele..🤣
Lugha hii si sawaHaya ndo malipo yenu Simba ku...ma...nyoko
Pole sana kolo.naumia kinomaa aaah
tukana yote ila kaa ukijua unashabikia timu mbovu hivyo ni halali yako kulialia!Mbwaa wee.
Forever and alwayssss!😍😍😍😍😍😍❤️❤️❤️❤️
Sijasema kauza nimesema Camara kafungisha team huwezi kuwa kipa wa ubora wako kufanya makosa mawili makubwa kosa moja sio mbaya mawili sasa nime link na lile sakata la kipa wa Kenya kuuza kwa Bet.Simba kwa kutuhumu wachezaji wao kuuza mechi wapo vizuri, kila mechi wakifungwa cha kwanza kumtafutia wa kumuangushia jumba bovu. Kwani Camara sio binadamu kiasi kwamba hafungiki wala hakosei?
Em kwendraa huko.tukana yote ila kaa ukijua unashabikia timu mbovu hivyo ni halali yako kulialia!
Basi sawaa.Pole sana kolo.
Muhimu hakikisha ulipo umezungukwa na watu mda wote usije ukajidhuru.
Ina maana mimi sioni? Haya ni maeno yako nina kunukuu "Camara kauza game kwa bahati mbaya au bet" halafu unakuja kukataa kuwa hukusema kauza.Sijasema kauza nimesema Camara kafungisha team huwezi kuwa kipa wa ubora wako kufanya makosa mawili makubwa kosa moja sio mbaya mawili sasa nime link na lile sakata la kipa wa Kenya kuuza kwa Bet.