FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Huna uwezo wa kufika yanga alipofika hizi porojo zako ni kujifariji tu,umeshindwa hata kufika fainal ya azam utaweza za caf?
Wewe unaweza ukafika level za Club Bingwa?

Hiyo Yanga yako unayoiona bora mbona ilitolewa na Al Hilal?

Hata leo hii ukiambiwa ni lini uliwahi kucheza na timu yenye ushindani kama Al Hilal tangu utupwe huko shirikisho huwezi kuwa na jibu.
 
Waulize pia walikutana lini na raja na wydad Casablanca tena wakiwa wa motoooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…