FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Hua unatafuta beat kadri ya rhythm inavyokwenda ,mbona unajulikana
Haya matokeo yangekua kinyume haya maneno usingeyasema
Ndio ushabiki wenyewe huu
 
Tatizo
Siasa na wanasiasa wameingilia mechi.

Sijaona umuhimu wa kugawia watu mabango na Tshirt za Samia
Hakuna uhusiano wwte wa mabango na mpira ulochezwa,tafuta hoja nyngne ya maana mana bado kuna second leg
 
Ko Simba wangeisupport Yanga kwny public ndo ingeongeza umakini wa mabek wa Yanga leo au sio,upinzan na utani wa jadi mpk sasa umechangia kukuza ubora wa ligi yetu kwa kias kikubwa kuliko kubomoa
 
Ali kamwe alijikaanga mwenyewe sasa ngoja wafe.
 
Huko ulaya sisi bongo Kwa matusi Yale siwi mnaafiki naiombea Yanga wafungwee
Potelea poteeee....wakifungwa ntaumia hasaaaa ..
Yanga Ndo mabingwa wa hizi mambo
 
Huko ulaya sisi bongo Kwa matusi Yale siwi mnaafiki naiombea Yanga wafungwee
Potelea poteeee....wakifungwa ntaumia hasaaaa ..
Yanga Ndo mabingwa wa hizi mambo
Asijisahaulishe viongozi wa yanga walipoenda airport mwaka jana
 
Ko Simba wangeisupport Yanga kwny public ndo ingeongeza umakini wa mabek wa Yanga leo au sio,upinzan na utani wa jadi mpk sasa umechangia kukuza ubora wa ligi yetu kwa kias kikubwa kuliko kubomoa
kimpira kweli USM Alger wako juu na yanga wameonyesha immaturity ya hali ya juu, huwezi kushinda goli dkka moja alafu ukarudishwa hiyo hiyo dkka.. ni ulimbukeni wa mpira
 
Ni matokeo ya mpira tu

Tukubali tumefungwa... tujipange kwao tukashinde mbili, ingawa ni mlima mkubwa mno
 
Wanafki sio watu wazuri
 
Nani mlimpiga kwao mkienda mnaambulia kupigwa tu Nani mtaje mwarabu mliempiga ? Ukiniambia Mimi nakutajia Yanga mwarabu aliempiga haya wewe taja Nani ?
Pambana na Yanga yako..sisi waarabu tushazoea kuwafunga..wametuotea tuu safari hii..nyie mmemfunga huyo monistr ndo umekuwa wimbo je mngemfunga Alhaily? Au wydad japo kamoja tuu??
 
Kuna kitu huwa namkubali kocha guadiola wa man city ni uwezo wa timu kumiliki mpira na kutopoteza ovyo mpira.
 
kimpira kweli USM Alger wako juu na yanga wameonyesha immaturity ya hali ya juu, huwezi kushinda goli dkka moja alafu ukarudishwa hiyo hiyo dkka.. ni ulimbukeni wa mpira
Mpira umeanza kufatilia lini Mkuu mbona hilo jambo la kawaida sana,kuna team bora zinafungwa ndan ya sekunde tano tu sembuse Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…