New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Hua unatafuta beat kadri ya rhythm inavyokwenda ,mbona unajulikanaMarumo nilisema wamecheza vizuri kuliko watangulizi ambao mlikutana nao.
Na kweli angalia mechi waliyocheza hapa kwa Mkapa fananisha na hao wengine utaona Marumo walikuwa hatari kuliko wale wengine.
Lakini tukisema Yanga ipo vizuri tunaweza kukubaliana lakini pia kuna sehemu tutakwama.
Kwasababu Yanga ilianzia Club Bingwa, huko ilitolewa. Ilitolewa kwasababu ilikutan na timu iliyo bora
Sasa kama kipimo cha ubora ni Rivers na Marumo ambao wameshuka daraja, ni kweli Yanga ni bora.
Lakini naamini itafika wakati mashabiki ndio mtakaosema, hili nalifahamu maana ni desturi ya mashabiki wa hizi Club
Kile kipindi tulisema sana kuhusu maoungufu ya timu yenu, mkatubeza. Lakini mlivyopata sare na Club Africain nyinyi ndio mlikuja kuyasema yote yale tuliyokuwa tunayasema sisi.
Ni muda tu
Haya matokeo yangekua kinyume haya maneno usingeyasema
Ndio ushabiki wenyewe huu