Na ww acha kujisahaulisha nyie kwa miaka 4 iliyopita mlikua mnaambulia nini...Baada ya kuambulia patupu msimu mzima
Hahaha eti waarabu wa bunju... π π πJust like you, nothing serious,enjoy mrembo,mnafuraha sana leo,hongeren kwa ushind waarabu wa bunju
Baada ya kuambulia patupu msimu mzima
Hata mabingwa wa nchi tupo apa,tunafanya maandalizi kwenda kuchukua kombe mbele yenu
Amejisahaulisha..tena nakumbuka enzi hizo mashabiki wa uto wanalalamika timu yao haipati kitu kwny ligi ya ndani na michuano ya kimataifa napo haipo ila Simba ilikua inachakaza ndani nje...2017
2018
2019
2020
MISIMU HYO ULKAA BILA KOMBE HATA LA CHAI KIMATAIFA NDYO USISEME KBSA
USM ALGER ΨͺΨ³ΨͺΩΩΩΩ ΩΩ ΩΩ ΩΩΩ ΩΩ ΩΩΩ Ψ·ΩΩΨ«Ω Ψ«ΩΩ HABIB HABIB
Naona classmates zako wamekufanya utambe leo2017
2018
2019
2020
MISIMU HYO ULKAA BILA KOMBE HATA LA CHAI KIMATAIFA NDYO USISEME KBSA
USM ALGER ΨͺΨ³ΨͺΩΩΩΩ ΩΩ ΩΩ ΩΩΩ ΩΩ ΩΩΩ Ψ·ΩΩΨ«Ω Ψ«ΩΩ HABIB HABIB
Kuna nini kimeendelea kwan
Dada mbona hasira? π€£π€£π€£π€£ππππ
Shikamoo peleka huko kwa wanafki wenzio
Sijui hata unaongelea nini mbonaπππDada mbona hasira? π€£π€£π€£π€£
Dar yang aflika imeshinda kwa Kaunda pale Jangwani kwenye chura. Tuwapongeze.Sijui hata unaongelea nini mbonaπππ
Kwan nini kinaendelea?
πππππDar yang aflika imeshinda kwa Kaunda pale Jangwani kwenye chura. Tuwapongeze.
Leo sitolala. Nina furaha sana. Nina furaha mno. Marehemu alichonga sana.πππππ
Kwenda huko na pongezi zako
View attachment 2638721
Mdomo tuu⦠embu lala tafadhali
Mnoooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] Raha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukuje nikupee poleeee[emoji81][emoji81]tupeane pole PM [emoji174]
Si mngefanyaa leo hapa chumbani kwenu?? Yaan umefatwaa ghetto na bado umeliwa, ndo uende ghetto kwake ukamleee??Hawataamini wanaume watakachokifanya kule