FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

Leo sub zilitakiwa za kupunguza presha, dogo Casemiro nae alitakiwa aingie. Pale kati angekuwa Muda,Max,Ngoma na Casemiro, mbele angebaki Shalule na Mzize basi.
Mpewe timu mabumunda nyie mnadhani ukocha kazi ndogo...
 
Ushindi anao Samuya, nashangaa mmeshindaje, wewe ni plastic fan acha mambo yako
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wee mpareee leo utasema yoteeeeeeeee.
Hata hao unaowataja hawaelewi na wanashangaa imekuajeeee?
 
Ndugu zangu utopolo kipindi cha kwanza baada ya lile bao mliongea mkajimaliza kabisa mkasahau kutunza maneno ya akiba, na kingine baada ya bao mapungufu ya kocha hamkuyaona? Timu yenu mwaka huu ni mbovu ukilinganisha na miaka mingine kocha mnamwonea Bure mvumilieni!! Huu ni mwanzo ya Yale tuliyoyapitia sisi, na bado ongezeni mlio pointi 3 mmedondosha sisi hao kileleni siyo shida zetu.
 
Mpewe timu mabumunda nyie mnadhani ukocha kazi ndogo...
Tupo hapa kutoa maoni ,kwenye mpira kutoa maoni na mtizamo wako hukatazwi na ndio maana kuna hili jukwaa. Kocha ni binadamu ndio maana kakosea na kukosea kwa kocha haina maana ni mbaya na ndio maana kuna mafootball analyst.
 
Ndege au ashukie Ruvuma atokee Msumbiji kuna shortcut kwa miguu hamna kocha pale.
Naomba kumsindikiza kutoka Dar to songea, songea to Lichinga, tukishafika Lichinga nitahakikisha ameshakwea bus la kuelekea Maputo, najua akifika kule ni kupanda Boti, chaapu yuko Petrolia.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naomba kumsindikiza kutoka Dar to songea, songea to Lichinga, tukishafika Lichinga nitahakikisha ameshakwea bus la kuelekea Maputo, najua akifika kule ni kupanda Boti, chaapu yuko Petrolia.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Fanya iyo mambo ashapaki nawasubiri
 
Arajiga mie nitazungumzia kila leo, kwanza leo kawapendelea yanga, kangwanda ilibidi apewe Red card, na hajampa
Dkk za mwshoni akawa anataka kuwatafutia yanga wasawazishee, wapiiiiii wewee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…