FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

Na hapo wamesehewa kadi nyekunduuuuuuuu.
Kumamaeeeeeeeee zenu nyieeeeee
nahisi ww sio mwanamke na hii acc yako ni yakulaghai watu huwezi shangilia huku na huku yani uwe yanga ghaflq unachange unakuwa simba aibu gani hii??
 
nahisi ww sio mwanamke na hii acc yako ni yakulaghai watu huwezi shangilia huku na huku yani uwe yanga ghaflq unachange unakuwa simba aibu gani hii??
Sasa Mkuu unapangia hadi watu namna ya kushangilia?😂😂 wewe si ubaki na timu yako
 
Hao Yanga nyie wapigeni mpaka wajinyee na mafuriko yanakuja hao vyura sijui wataishi wapi? 😹
🙄🙄 Aisee, leo wewe wa kusema hayo kweli.
"Kosa pesa tujue tabia ya mkeo"
 
Yanga kafungwa kwenye kila kitu Short on target,off target, position,mistake aliyo ifanya kumtoa Muda,Ngoma alifunikwa sio mkabaji.Tushapigwa tujipange kwa mechi ijayo, tuache lawama kwa mtu yoyote huu ndio mpira ukizembea unabondwa.
Umeongea kisoka sana.
Salute bro
 
Reactions: BRN
Mkuu ulikuwa unakula ban,
Pole sana na pia hongera😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…