FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

Msimu wa 21 to 22 wenzetu waliongoza kwa magoli na kombe hawakubeba kikubwa tumepata point tatu
 
Mkuu msifie kipa kabla ya kulaumu wachezaji wa Yanga
 
Vs Kagera Sugar Kaitaba kapigwa goli 2
Vs Namungo akiwa lindi kapigwa 3
Vs Dodoma jiji akiwa Dodoma kapigwa 4
Vs Mtibwa akiwa Morogoro kapigwa goli 3
Vs Geita Gold akiwa Mwanza kapigwa goli 3
Vs Tanzania prisons akiwa Mbeya kapigwa goli 2
Wacha historia.Msimu mpya huu.
 
Mkoani speed ni 1g to 2g why?
Uchawi hautoki Dar?
Huwa naamini ni moja ya watu wenye kujua mpira ila kwa hiki ulichoandika nimebaki kujiuliza maswali. Haya mkuu baki na mawazo ya mpira uchawi dunia ya leo hii.
 
Match ngumu kwa Yanga msimu itakua 1 tu, tena kwao.
Niulize.
 
Boka kapata tuzo ya mchezaji Bora wa mechi ya Leo
 
Na hapo bado yule Mganga wenu amewaonya kama msipommalizia Fedha zake ya Msimu uliopita msije Kumlaumu.
 
Msimu mpya yanga imeuanza kwa kucheza mechi zote away na kapata point 6 na magoli 3 haya unataka kusema nini wewe Tui la nazi?
Umeelewa nilichoandika au umekurupuka tu kujibu Soma mtiririko wa kilichoandikwa.Kurukia bila kuelewa ndio kunaleta mimba za utotoni.
 
FT
Azam 4 - 1 Sumba sc

Jikite shirikisho mkuu, huku club bingwa haupawezi.
 
Umeelewa nilichoandika au umekurupuka tu kujibu Soma mtiririko wa kilichoandikwa.Kurukia bila kuelewa ndio kunaleta mimba za utotoni.
Wewe mbumbumbu kama kudandia umedandia wewe kwasababu ndio uliyeanza kuni quote comment yangu niliyokuwa namjibu Uran ambaye alisema Yanga mikoani haishagi au kwavile ni uchawi hauvuki mkoa. Nikampa matokeo yaliyopita. Wewe ukakatiza mbele na shobo zako unasema kuwa niache historia msimu mpya huu, haya msimu mpya umeanza yanga kapoteza point ngapi ugenini we Tui la nazi?
 
Kamu dauni la prinsesa...
 
Wakikudata uthibitishe tuhuma zako unabaki unalia unaomba uonewe huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…