FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

Magoma fc na hiyo timu nayo atatoa jasho kama kapikwa kwny uji...πŸ˜ƒ
wote wanao tusumbua kipindi cha kwanza huwa tunawapiga 5 au 6 hadi mwisho wa mchezo kaa kwa kutulia utaona
 
Naona Yanga wanatafta kufuta ile kauli ya kusema KEN ni vibonde
Mradi tu waonekane wanakaza

Aminini hamna magoli apa leo
 
Mbeya ndio jiji chafu kuliko yote πŸ˜‚πŸ˜‚
city hamna kitu pabovu sanaa...kamji kaduchuu...kamepaukaa...vijumba vya matope mji mzima...mji biashara wanaanza kufunga saa 10....saa moja daladala hamna na watu hamna...jiji unazunguka masaa mawil limeisha
 
Hivi Mbeya ni Jiji?
 
Akina mwaipopo mwakareli watapigwa zakutoshaaaaa leo πŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ–€πŸ–€πŸ’ͺπŸ’ͺ!

Cc Smart911
Ngoja tuone kipindi cha pili. Lakini goli limefungwa na beki kwa set piece.

Goli kama hilo inatakiwa lifungwe kwenye mechi ambayo ni ngumu na siyo hii Kengold huku mkijitapa kuwa na viungo na washambuliaji hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…