FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

Mabadiliko..Inonga anabadilishwa na Kennedy Juma
 
Simba mwenzangu ila unalawama sana..
 
Makolo yana sura za huruma naona yameshajiandaa kisaikolojia
 
Eti Bocco kaanza kikosi cha kwanza

Huyu hata kwenye picha za Gym za hivi karibuni zinazopostiwa na Club sijawahi kumuona
 
00' Naaam mpira umeanza Uwanja wa Mkapa

Simba SC 0-0 Dodoma Jiji
 
05' Goooooooooooooaaal gooal

Abdallah Shaibu anajifunga baada ya kupiga kichwa cha nyuma | Simba SC 1-0 Dodoma Jiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…