FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Tuna wachapa hawa .Waarabu wana enda kuuwana wao kwa wao sisi tuna kaa paleee.
 
Match Day.

Ni siku nzito sana,

Siku inayoenda kutoa hatma ya Wanajangwani.

Medeama Vs Yanga.

Muda ni saa Moja Usiku.
Twende Sote.

Kila la Heri Wananchi
Siku ya kubadili upepo na kuamsha matumaini ya kutinga fainaliπŸ€”.Wanajangwani kila kitu kinawezekana,tunawapindulia meza hao waghana.
 
KIKOSI KINACHOANZA AZIZ KI BENCHINIView attachment 2836805
Hahahhh si tulikubaliana Aziz ki ni nguzo na mhimili wa Timu ?. Isitoshe alifananishwa had na Kina percy Tau,... Vipi tena leo mbon nje πŸ˜‚πŸ˜€ ila nmesikitika kumuona nje maan Topolo wakifungwa watapata kisingizio,

Note: Niliwah kusema na leo naludia kusema haya mashindano yatamfukuzisha Gamondi kibarua,... Naona dalili zote zinajionyesha kwamba inaenda kutimia.
 
Aziz hajawa kwenye kiwango kizuri tangu ile mechi ya Algeria, gamondi afukunzwe kwanini ??? Amefikia malengo ya yanga (group stage ) kwanini afukuzwe ??
 
Kuna namna ushabiki unataka kutufanya tuwe wajinga, nilishangaa pia kuona Tau analinganishwa na Aziz, mtu anakwambia Pacome ni sawa ni Zidane.[emoji23]
 
Akili za jikoni hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…