FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Master wa mikimbio leo yupo kwenye mbao ndefu

Hii ni kutokana na kiwango KIBOVU kwenye mechi ya mwisho
Huyu ndiye ' game changer' kwenye hii mechi.

Hii ndio silaha ya akiba itakayowashangaza Medeama.
 
Leo hatupo kwenye Ratiba ya Mgao ila Vijana wa Bi. Tozo washachukua umeme wao. Haya Bwana, tutafanyaje wakati mzanzibari ndio Rais wetu na kwao Kiembe Samaki hakuna Mgao.
 
Wewe uto kumbe
Nataka nione game plan yao leo. Maana wale watoto wana mpira wa kaşı sana.

Kwa kifupi ni wapeleka moto mwanzo mwisho. Especially wakiwa nyumbani bila hata mashabiki uwanjani.

It will be interesting. Maana Yanga wataanza kwa kujaribu kuwa slow down. Lakini ina maana wasipokuwa makini, watashambuliwa sana dakika za mwanzo.
 
Mechi haina droo nmechungulia kwenye rada. Ss nan anakufa mm nasema uto hatoboi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…