Nahman
JF-Expert Member
- Oct 4, 2023
- 599
- 1,749
Kweli bossIngawa mi ni Simba Ila naiombea ushindi timu Bora Kwa sasa Tanzania Dar Young Africans ushindi ili izidi kutuwakilisha ikiwezekana ifike tena Fainali..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli bossIngawa mi ni Simba Ila naiombea ushindi timu Bora Kwa sasa Tanzania Dar Young Africans ushindi ili izidi kutuwakilisha ikiwezekana ifike tena Fainali..
Dstv ndo hatuelewi kituWenye King'amuzi cha Startimes mechi inaonyeshwa na ST ADEPA TV Channel no.247
Huyu ndiye ' game changer' kwenye hii mechi.Master wa mikimbio leo yupo kwenye mbao ndefu
Hii ni kutokana na kiwango KIBOVU kwenye mechi ya mwisho
Wewe uto kumbeMedeama ndio vibonde wa hilo kundi japo wana point 3...
Mpaka hapo sisi Uto...tunachukua point 6 kwa Medeama.
Kati ya Medeama na Yanga hujui kuwa Yanga ni bora kuliko Medeama?Champions League kuna vibonde? mbona hua hamueleweki
Kwani wewe sio uto?Wewe uto kumbe
Na kule kwenu kibonde nani?Kati ya Medeama na Yanga hujui kuwa Yanga ni bora kuliko Medeama?
Yanga wakiwaita Medeama ni bonde wao uwe unaelewa mkuu [emoji23]
Azizi Ki yupo benchiWewe uto kumbe
Wenye King'amuzi cha Startimes mechi inaonyeshwa na ST ADEPA TV Channel no.247
TutaonaHuyu ndiye ' game changer' kwenye hii mechi.
Hii ndio silaha ya akiba itakayowashangaza Medeama.
Acha wapigwe haoAzizi Ki yupo benchi
Gamondi atakuwa anachuki binafsi
WaydadNa kule kwenu kibonde nani?
Nataka nione game plan yao leo. Maana wale watoto wana mpira wa kaşı sana.Wewe uto kumbe
Nasikia wameisusia timu yao ili ipigwe na Uto 😂Medeama hawana mashabiki?